The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.

Translation

English Template: AdminRegistration
English Swahili Actions
Your OTRS-ID is the email address you used to sign up on the OTRS.com webpage. Kitambulisho chako cha OTRS ni barua pepe uliyotumia kujiunga katika ukurasa wa tovuti wa OTRS.com
Data Protection Ulinzi wa data
What are the advantages of system registration? Nini faida za usajili wa mfumo?
You will receive updates about relevant security releases. Utapokea habari kuhusu matoleo yanayohusiana na usalama.
With your system registration we can improve our services for you, because we have all relevant information available. Kwa usajili wako wa mfumo tutaboresha huduma zetu kwa ajili yako, kwasababu tuna tarifa zote zinazohusika.
This is only the beginning! Huu ni mwanzo tu!
We will inform you about our new services and offerings soon. Tutakupa taarifa kuhusu huduma zetu mpya na ofa karibuni.
Can I use OTRS without being registered? Je ninawezakutumia OTRS bila kujisajili?
System registration is optional. Usajili wa mfumo ni mzuri.
You can download and use OTRS without being registered. Unaweza kupakua na kutumia OTRS bila kusajiliwa.
Is it possible to deregister? Inawezeka kujifuta?
You can deregister at any time. Unaweza kujitoa muda wowote
Which data is transfered when registering? Data gani zinatumwa wakati wa usajili?
A registered system sends the following data to OTRS Group: Mfumo uliosajiliwa unatuma data zifuatazo kwenda kwenye kikundi cha OTRS:
Fully Qualified Domain Name (FQDN), OTRS version, Database, Operating System and Perl version. Jina ka Kikoa lilifuzu Kamili (FQDN), Toleo la OTRS, Hifadhi data, Mfumo endeshi na Toleo la Perl.
Why do I have to provide a description for my system? Kwanini nitoe maelezo kwa ajili ya mfumo wangu.
The description of the system is optional. Maelezo ya mfumo ni wa hiari.
The description and system type you specify help you to identify and manage the details of your registered systems. Maelezo na aina ya mfumo unaobainisha unakusaidia kugundua na kusimamia maelezo ya mfumo wako uliosajiliwa.
How often does my OTRS system send updates? Ni kila baada ya muda gani mfumo wangu wa OTRS unatuma ushasishwaji?
Your system will send updates to the registration server at regular intervals. Mfumo utatuma visasihi kwenye seva ya usajili kila baada ya muda flani.
Typically this would be around once every three days. Hii itakuwa kila mara moja kila siku tatu
If you deregister your system, you will lose these benefits: Kama utatoa usajili katika mfumo wako, utapoteza manufaa haya.
You need to log in with your OTRS-ID to deregister your system. Unahitaji kuingia na kitambulisho chako cha OTRS kutoa usajili katika mfumo wako.
OTRS-ID Kitambulisho cha OTRS
You don't have an OTRS-ID yet? Hauna kitambulisho cha OTRS bado?
Sign up now Jiandikishe sasa
Forgot your password? Umesahau neno lako la siri?
Retrieve a new one Pata jipya
Next Baadae
This data will be frequently transferred to OTRS Group when you register this system. Data hii itahamishwa mara kwa mara kwenye kikundi cha OTRS ukisajili katika mfumo huu.
Attribute Sifa

Loading…

No matching activity found.
Browse all component changes

Things to check

Mismatched full stop

Source and translation do not both end with a full stop

Reset

Mismatched question mark

Source and translation do not both end with a question mark

Reset

Glossary

English Swahili
No related strings found in the glossary.

String information

Source string description
Template: AdminRegistration
String age
4 years ago
Source string age
4 years ago
Translation file
i18n/otrs/otrs.sw.po, string 1347