The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.

Translation

English SysConfig
English Swahili Actions
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, a database driver (normally autodetection is used) can be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,viendeshaji hifadhi data(mara nyingi ugunduzi wa otomatiki unatumika) vinaweza kubainishwa.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, a password to connect to the customer table can be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,neno la siri la kuunganisha kwenye jedwali la mteja linaweza kubainishwa.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, a username to connect to the customer table can be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,jina la mtumiaji la kuunganisha kwenye jedwali la mteja linaweza kubainishwa.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, the DSN for the connection to the customer table must be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,DNS kwa jilia ya kuunganisha kwenye jedwali la mteja linaweza kubainishwa.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, the column name for the CustomerPassword in the customer table must be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,jina la safu wima kwa ajili ya neno la siri la mteja katika jedwali la mteja lazima libainishwe.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, the encryption type of passwords must be specified.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, the name of the column for the CustomerKey in the customer table must be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,jina la safu wima kwa ajili ya funguo wa mteja katika jedwali la mteja lazima libainishwe.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, the name of the table where your customer data should be stored must be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,jina la jedwali ambapo data za mteja wako zitahifadhiwa lazima libainishwe.
If "DB" was selected for SessionModule, a table in database where session data will be stored must be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Moduli ya kipindi, jedwali katika hifadhi data ambapo data za kipindi zitahifadhiwa lazima zibainishwe.
If "FS" was selected for SessionModule, a directory where the session data will be stored must be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Moduli ya kipindi, mpangilio orodha ambapo data za kipindi zitahifadhiwa lazima zibainishwe.
If "HTTPBasicAuth" was selected for Customer::AuthModule, you can specify (by using a RegExp) to strip parts of REMOTE_USER (e. g. for to remove trailing domains). RegExp-Note, $1 will be the new Login. Kama "Uhifadhi wa msingi wa HTTP" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji, unaweza kubainisha (kwa kutumia RegExp) kuachanisha sehemu za MTUMIAJI_WA_MBALI (mfano kuongoa vikoa mkia). RegExp-Note, $1 itakuwa muingio mpya.
If "HTTPBasicAuth" was selected for Customer::AuthModule, you can specify to strip leading parts of user names (e. g. for domains like example_domain\\user to user).
If "LDAP" was selected for Customer::AuthModule and if you want to add a suffix to every customer login name, specifiy it here, e. g. you just want to write the username user but in your LDAP directory exists user@domain. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji na kama unahitaji kuongeza kiambishi kwa kila jina la mteja la kuingia, bainisha hapa, mfano unataka kuandika jina la mtumiaji lakini katika mpangilio orodha wako wa LDAP ipo user@domain.
If "LDAP" was selected for Customer::AuthModule and special paramaters are needed for the Net::LDAP perl module, you can specify them here. See "perldoc Net::LDAP" for more information about the parameters. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji na parameta maalum zinahitajika kwa jaili ya moduli ya Net::LDAP, unaweza kubainisha hapa. Angalia "perldoc Net::LDAP" kwa taarifa zaidi kuhusu parameta.
If "LDAP" was selected for Customer::AuthModule and your users have only anonymous access to the LDAP tree, but you want to search through the data, you can do this with a user who has access to the LDAP directory. Specify the password for this special user here. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji na na watumiaji wako wana uwezo usiojulikana wa kufikia mti wa LDAP, lakini unataka kutafuta kupitia data, unaweza kufanya hivi na mtumiaji ambaye anafikia mpangilio orodha wa LDAP. Bainisha neno la siri kwa huyu mtumiaji wa maalum hapa.
If "LDAP" was selected for Customer::AuthModule and your users have only anonymous access to the LDAP tree, but you want to search through the data, you can do this with a user who has access to the LDAP directory. Specify the username for this special user here. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji na na watumiaji wako wana uwezo usiojulikana wa kufikia mti wa LDAP, lakini unataka kutafuta kupitia data, unaweza kufanya hivi na mtumiaji ambaye anafikia mpangilio orodha wa LDAP. Bainisha jina la mtumiaji kwa huyu mtumiaji wa maalum hapa.
If "LDAP" was selected for Customer::AuthModule, the BaseDN must be specified. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji DN ya msingi lazima ibainishwa.
If "LDAP" was selected for Customer::AuthModule, the LDAP host can be specified. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji, mwenyeji wa LDAP anaweza kubainishwa.
If "LDAP" was selected for Customer::AuthModule, the user identifier must be specified. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji, kitambulishi cha mtumiaji lazima kibainishwe.
If "LDAP" was selected for Customer::AuthModule, user attributes can be specified. For LDAP posixGroups use UID, for non LDAP posixGroups use full user DN. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji, sifa za mtumiaji zinaweza kubainishwa. Kwa LDAP posixGroups wanatumia UID, kwa wasio LDAP posixGroups wanatumia DN kamili ya mtumiaji.
If "LDAP" was selected for Customer::AuthModule, you can specify access attributes here. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji, unaweza kubainisha sifa za kufikia hapa.
If "LDAP" was selected for Customer::AuthModule, you can specify if the applications will stop if e. g. a connection to a server can't be established due to network problems. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji, unaweza kubainisha kama programu tumizi zitaacha kufanya kazi kama mfano muunganisho wa kwenye seva hauwezi kuanzishwa kwasababu ya matatizo ya mtandao.
If "LDAP" was selected for Customer::Authmodule, you can check if the user is allowed to authenticate because he is in a posixGroup, e.g. user needs to be in a group xyz to use OTRS. Specify the group, who may access the system. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji, unaweza kuangalia hapa kama mtumiaji anaruhusiwa kuhalalisha kwasababu yuo kwenye posixGroup, mfano mtumiaji anahitaji kuwa kwenye kikundi xyz kutumia OTRS. Bainisha kikundi, nani anaweza kufikia mfumo.
If "LDAP" was selected, you can add a filter to each LDAP query, e.g. (mail=*), (objectclass=user) or (!objectclass=computer). Kama "LDAP" imechaguliwa unaweza kuongeza kichuja katika kila ulizo la LDAP, mfano (barua pepe=*), (tabaka la kipengele = mtumiaji) au (!tabaka la kipengele = tarakilishi).
If "Radius" was selected for Customer::AuthModule, the password to authenticate to the radius host must be specified. Kama "Nusu kipenyo" kimechaguliwa kwa ajili ya Moduli ya kuhalalisha::Mteja, neno la siri kuhalalisha kwa mwenyeji wa nusu kipenyo lazima ibainishwe.
If "Radius" was selected for Customer::AuthModule, the radius host must be specified. Kama "Nusu kipenyo" kimechaguliwa kwa ajili ya Moduli ya kuhalalisha::Mteja, mwenyeji wa nusu kipenyo lazima ibainishwe.
If "Radius" was selected for Customer::AuthModule, you can specify if the applications will stop if e. g. a connection to a server can't be established due to network problems. Kama "Nusu kipenyo" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji, unaweza kubainisha kama programu tumizi zitaacha kufanya kazi kama mfano muunganisho wa kwenye seva hauwezi kuanzishwa kwasababu ya matatizo ya mtandao.
If "Sendmail" was selected as SendmailModule, the location of the sendmail binary and the needed options must be specified. Kama "Tuma Barua pepe" ilichaguliwa kama Moduli ya kutuma barua pepe, eneo la pacha tuma barua pepe na michaguo inayohusika lazima ibainishwe.
If "SysLog" was selected for LogModule, a special log facility can be specified. Kama "BatliMfumo" imechaguliwa kwa ajili ya ModuliBatli, kituo batli maalum kitabainishwa.
If "SysLog" was selected for LogModule, the charset that should be used for logging can be specified. Kama "BatliMfumo" ilichagulia moduli ya batli, seti ya herufi ambayo itumike kuingia ibainishwe.
If "bcrypt" was selected for CryptType, use cost specified here for bcrypt hashing. Currently max. supported cost value is 31.

Loading…

No matching activity found.
Browse all component changes

Things to check

Consecutive duplicated words

Text contains the same word twice in a row: na

Reset

Glossary

English Swahili
No related strings found in the glossary.

String information

Source string description
SysConfig
String age
4 years ago
Source string age
4 years ago
Translation file
i18n/otrs/otrs.sw.po, string 5018