The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.

Translation

English SysConfig
English Swahili Actions
Defines the sender for rejected emails. Inamfafanua mtumaji wa barua pepe zilizolizokataliwa.
Defines the separator between the agents real name and the given queue email address. Inafafanua kitenganishi kati ya majina halisi la mawakala na anwani za barua pepe za foleni zilizogaiwa.
Defines the shown columns and the position in the AgentCustomerUserAddressBook result screen.
Defines the shown links in the footer area of the customer and public interface of this OTRS system. The value in "Key" is the external URL, the value in "Content" is the shown label.
Defines the standard permissions available for customers within the application. If more permissions are needed, you can enter them here. Permissions must be hard coded to be effective. Please ensure, when adding any of the afore mentioned permissions, that the "rw" permission remains the last entry. Inafafanua ruhusa zinazopatikana za kiwango kwa wateja ndani ya programu tumizi. Kama ruhusa zaidi zinahitajika, unaweza kuziingiza hapa. Ruhusa lazima zifafanuliwe kuwa za ufanisi. Tafadhali hakikisha kwamba wakati wa kuongeza ruhusa zozote zilizotajwa kabla, kwamba ruhusa ya "rw" ibakie kuwa ingizo la mwisho.
Defines the standard size of PDF pages. Inafafanua kiwango cha ukubwa wa kurasa za PDF.
Defines the state of a ticket if it gets a follow-up and the ticket was already closed. Inafafanua hali ya tiketi kama ikipata kufuatiliwa na tiketi ilikuwa tayari imefungwa.
Defines the state of a ticket if it gets a follow-up. Inafafanua hali ya tiketi kama ikipata kufatiliwa.
Defines the state type of the reminder for pending tickets. Inafafanua aina ya hali ya kikumbusho cha tiketi zinazogoja.
Defines the subject for notification mails sent to agents, about new password. Inafafanua somo kwa barua pepe za taarifa zilizotumwa kwa mawakala, kuhusu neno jipya la siri.
Defines the subject for notification mails sent to agents, with token about new requested password. Inafafanua somo kwa ajili ya barua pepe za taarifa zilizotumwa kwa mawakala, na alama ya neno jipya la siri lililoombwa.
Defines the subject for notification mails sent to customers, about new account. Inafafanua somo kwa ajili ya barua pepe za taarifa zilizotumwa kwa wateja, kuhusu akaunti mpya.
Defines the subject for notification mails sent to customers, about new password. Inafafanua somo kwa ajili ya barua pepe za taarifa zilizotumwa kwa wateja, kuhusu neno jipya la siri.
Defines the subject for notification mails sent to customers, with token about new requested password. Inafafanua somo kwa ajili ya barua pepe za taarifa zilizotumwa kwa wateja, na alama ya neno jipya la siri lililoombwa.
Defines the subject for rejected emails. Inafafanua somo kwa barua pepe zilizokataliwa.
Defines the system administrator's email address. It will be displayed in the error screens of the application. Inafafanua anwani ya barua pepe ya msimamizi wa mfumo. Itaonyeshwa katika skrini za makosa ya programu tumizi.
Defines the system identifier. Every ticket number and http session string contains this ID. This ensures that only tickets which belong to your system will be processed as follow-ups (useful when communicating between two instances of OTRS). Inafafanua kitambulishi cha mfumo. Kila namba ya tiketi na tungo ya kipindi cha http inacho kitambulisho hiki. Hii inahakikisha kwamba kila tiketi ambayo ipo katika mfumo wako itashughulikiwa kama iliyokuwa inafuatiliwa (Inatumika wakati wa kuwasiliana kati ya mifani 2 ya OTRS).
Defines the target attribute in the link to external customer database. E.g. 'AsPopup PopupType_TicketAction'. Inafafanua sifa ya lengo katika kiunganishi cha hifadhi data ya mteja ya nje. Mfano 'AsPopup PopupType_TicketAction'.
Defines the target attribute in the link to external customer database. E.g. 'target="cdb"'. Inafafanua sifa ya lengo katika kiunganishi cha hifadhi data ya mteja ya nje. Mfano 'target="cdb"'.
Defines the ticket appointment type backend for ticket dynamic field date time.
Defines the ticket appointment type backend for ticket escalation time.
Defines the ticket appointment type backend for ticket pending time.
Defines the ticket fields that are going to be displayed calendar events. The "Key" defines the field or ticket attribute and the "Content" defines the display name. Inafafanua uga za tiketi ambazo yataonyesha matukio ya kalenda. "Ufunguo" unafafanua uga au sifa ya tiketi na "Maudhui" inafafanua jina linaloonyeshwa.
Defines the ticket plugin for calendar appointments.
Defines the time zone of the indicated calendar, which can be assigned later to a specific queue. Inafafanua majira ya masaa yaliyoonyeshwa katika kalenda, ambayo yatapewa baadae kwa foleni maalum.
Defines the timeout (in seconds, minimum is 20 seconds) for the support data collection with the public module 'PublicSupportDataCollector' (e.g. used from the OTRS Daemon).
Defines the two-factor module to authenticate agents.
Defines the two-factor module to authenticate customers.
Defines the type of protocol, used by the web server, to serve the application. If https protocol will be used instead of plain http, it must be specified here. Since this has no affect on the web server's settings or behavior, it will not change the method of access to the application and, if it is wrong, it will not prevent you from logging into the application. This setting is only used as a variable, OTRS_CONFIG_HttpType which is found in all forms of messaging used by the application, to build links to the tickets within your system. Inafafanua aina ya itifaki, inayotumika na seva ya tovuti, kuihudumia programu tumizi. Itifaki ya https itatumika badala ya http iliyowazi, laizma ibainishwe hapa. Kutokana na kutokuwa na madhara katika mipangilio ya wavuti au tabia, haitabadilisha namna ya kufikia programu tumizi na, kama haipo sahihi haitokuzuia wewe kuingia kwenye programu tumizi. Mpangilio huu unatumika kama thamani inayobadilika tu, aina ya OTRS_CONFIG_Http ambayo ipo katika namna zote za ujumbe zinazotumika na programu tumizi, kujenga viunganishi kwenda kwenye tiketi ndani ya mfumo wako.
Defines the used character for plaintext email quotes in the ticket compose screen of the agent interface. If this is empty or inactive, original emails will not be quoted but appended to the response. Inafafanua tabia iliyotumika kwa ajili ya nukuu za barua pepe za makala iliyowazi katika skrini ya kutunga tiketi ya kiolesura cha wakala. Kama ipo tupu au haija amilishwa, barua pepe halisi hatizonukuliwa lakini zita ambatanishwa kwenye majibu.
Defines the user identifier for the customer panel. Inafafanua kitambulishi cha mtumiaji kwa paneli ya mteja.

Loading…

No matching activity found.
Browse all component changes

Glossary

English Swahili
No related strings found in the glossary.

String information

Source string description
SysConfig
String age
4 years ago
Source string age
4 years ago
Translation file
i18n/otrs/otrs.sw.po, string 4747