The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Allows adding notes in the ticket note screen of the agent interface. Can be overwritten by Ticket::Frontend::NeedAccountedTime. Ruhusu kuongeza vidokezo katika tiketi ya kidokezo ya skini ya kiolesura cha wakala. Inaweza kuandikwa kupitiliza kwa Tiketi::Mazingira ya mbele::Inahitaji muda uliohesabika
Allows adding notes in the ticket owner screen of a zoomed ticket in the agent interface. Can be overwritten by Ticket::Frontend::NeedAccountedTime. Ruhusu kuongeza vidokezo katika skrini ya tiketi miliki ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala. Inaweza kuandikwa kupitiliza kwa Tiketi::Mazingira ya mbele::Inahitaji muda uliohesabika
Allows adding notes in the ticket pending screen of a zoomed ticket in the agent interface. Can be overwritten by Ticket::Frontend::NeedAccountedTime. Ruhusu kuongezwa kwa vidokezo katika skrini inayosubiri tiketi ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala. Inaweza kuandikwa kwa kupitilizwa kwa Tiketi::Mazingira ya mbele::Inahitaji muda uliohesabika
Allows adding notes in the ticket priority screen of a zoomed ticket in the agent interface. Can be overwritten by Ticket::Frontend::NeedAccountedTime. Ruhusu kuongeza vidokezo katika skrini ya tiketi ya kipaumbele ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala. Inaweza kuandikwa kupitiliza kwa Tiketi::Mazingira ya mbele::Inahitaji muda uliohesabika
Allows adding notes in the ticket responsible screen of the agent interface. Can be overwritten by Ticket::Frontend::NeedAccountedTime. Ruhusu kuongeza vidokezo katika skrini ya tiketi wajibika ya kiolesura cha wakala. Inaweza kuandikwa kupitiliza kwa Tiketi::Mazingira ya mbele::Inahitaji muda uliohesabika
Allows choosing between showing the attachments of a ticket in the browser (inline) or just make them downloadable (attachment). Inaruhusu kuchagua kati ya kuonyesha viambatisho vya tiketi katika kivinjari (ndani ya mstari) au kuzifanya ziweze kupakuliwa (kiambatisho)
Christmas Eve Usiku wa kuamkia Krismasi.
Controls how to display the ticket history entries as readable values. Inadhibiti jinsi ya kuonyesha maingizo ya historia ya tiketi kama thamani zinazosomeka.
Controls if more than one from entry can be set in the new phone ticket in the agent interface. Inadhibiti kama kuna ingizo zaidi moja linawezwa kuwekwa katika tiketi ya simu mpya katika kiolesura cha wakala.
Controls if the admin is allowed to import a saved system configuration in SysConfig. Inadhibiti kama kiongozi anaruhusiwa kuleta usanidi wa mfumo uliohifadhiwa katika UsanidiMfumo
Defines all the parameters for the RefreshTime object in the customer preferences of the customer interface. Inaelezea vigezo vyote kwa kipengele cha Muda wa kuonyesha upya katika mapendeleo ya mteja ya kiolesura cha mteja.
Defines how the From field from the emails (sent from answers and email tickets) should look like. Inafafanua jinsi uga wa Kutoka kutoka kwenye barua pepe (umetumwa kutoka kwenye majibu na tiketi za barua pepe) unatakiwa ufanane.
Defines the body text for rejected emails. Inafafanua kiini cha matini ya barua pepe zilizokataliwa
Defines the default shown ticket search attribute for ticket search screen. Example: "Key" must have the name of the Dynamic Field in this case 'X', "Content" must have the value of the Dynamic Field depending on the Dynamic Field type, Text: 'a text', Dropdown: '1', Date/Time: 'Search_DynamicField_XTimeSlotStartYear=1974; Search_DynamicField_XTimeSlotStartMonth=01; Search_DynamicField_XTimeSlotStartDay=26; Search_DynamicField_XTimeSlotStartHour=00; Search_DynamicField_XTimeSlotStartMinute=00; Search_DynamicField_XTimeSlotStartSecond=00; Search_DynamicField_XTimeSlotStopYear=2013; Search_DynamicField_XTimeSlotStopMonth=01; Search_DynamicField_XTimeSlotStopDay=26; Search_DynamicField_XTimeSlotStopHour=23; Search_DynamicField_XTimeSlotStopMinute=59; Search_DynamicField_XTimeSlotStopSecond=59;' and or 'Search_DynamicField_XTimePointFormat=week; Search_DynamicField_XTimePointStart=Before; Search_DynamicField_XTimePointValue=7';. Inafafanua sifa ya tiketi iliyotafutwa iliyoonyeshwa chaguo msingi kwa skrini ya kutafuta tiketi. Mfano: "Kibonye" lazima iwe na jina la uga wenye nguvu kwa hapa ni 'X', "Maudhui" lazima iwe na thamani ua uga wenye nguvu kutegemeana na aina ya uga wenye nguvu, Matini:'Matini', Kunjuzi: '1', Tarehe/Muda: Mwaka wa kuanza wa majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa=1974; Mwezi wa kuanza wa majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa=01; Siku ya kuanza ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa=26; Saa ya kuanza ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =00; Dakika ya kuanza ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa = 00; Sekunde ya kuanza ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa = 00; Mwaka wa kuisha wa majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =2013; Mwezi wa kuisha wa majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =01; Siku ya kuisha ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =26; Saa ya kuisha ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =23; Dakika ya kuisha ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =59; Sekunde ya kuisha ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =59; na au Umbizo la pointi ya muda X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa = Week; Mwanzo wa pointi ya muda X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa = Kabla; Thamani ya pointi ya muda X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa = 7;
Defines the default ticket bounced notification for customer/sender in the ticket bounce screen of the agent interface. Inafafanua taarifa za tiketi chaguo-msingi zilizodunda kwa mteja/mtumaji katika skrini ya tiketi zilizodunda za kiolesura cha wakala.
Defines the default used Frontend-Module if no Action parameter given in the url on the agent interface. Fafanua chaguo-msingi inayotumika katika Moduli-Mbelenyuma kama hakuna kigezo cha kitendo iliyotolewa na url kwa kiole sura cha wakala.
Defines the default used Frontend-Module if no Action parameter given in the url on the customer interface. Fafanua chaguo-msingi inayotumika katika Moduli-Mbelenyuma kama hakuna kigezo cha kitendo iliyotolewa na url kwa kiole sura cha mteja.
Defines the height for the rich text editor component. Enter number (pixels) or percent value (relative). Inafafanua urefu kwa kijenzi cha mhariri wa matini tajini kwa skrini hii. Ingiza namba (Pikseli) au thamani ya asilimia (Inayohusika).refu wa
Defines the link type groups. The link types of the same group cancel one another. Example: If ticket A is linked per a 'Normal' link with ticket B, then these tickets could not be additionally linked with link of a 'ParentChild' relationship. Inafafanua aina ya kiunganishi vikundi. Aina za viunganishi zilizokatika kikundi kimoja zinajifuta zenyewe.Mfano: Kama tiketi A imeunganishwa na kiunganishi 'Kawaida' na tiketi B, tiketi hizi haziwezi kuunganishwa tena na kiunganishi kutoka 'Zazi mtoto'.
Defines the location to get online repository list for additional packages. The first available result will be used. Inafafanua sehemu ya kupata orodha hifadhi mtandaoni kwa vifurushi vilivyoongezwa. Jibu la kwanza lililopo litatumika.