The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Manage POP3 or IMAP accounts to fetch email from. Simamia akaunti za POP3 au IMAP kupata barua pepe kutika huko.
Max size (in rows) of the involved agents box in the agent interface. Ukubwa wa upeo juu (katika safu mlalo) wa kikasha wa mawakala wanaohusika katika kioleusura cha wakala.
News about OTRS releases! Taarifa kuhusu matoleo ya OTRS!
Overview of all open Tickets. Marejeo ya Tiketi zilizo wazi
Retains all services in listings even if they are children of invalid elements. Inaacha huduma zote katika orodha hata kama ni vipengele vidogo vya vipengele batili.
Set sender email addresses for this system. Weka anwani za barua pepe ya mtumaji kwa mfumo huu.
Sets the configuration level of the administrator. Depending on the config level, some sysconfig options will be not shown. The config levels are in in ascending order: Expert, Advanced, Beginner. The higher the config level is (e.g. Beginner is the highest), the less likely is it that the user can accidentally configure the system in a way that it is not usable any more. Inaweka hatua ya usanidi ya kiongozi. Inategemeana na hatua ya usanidi, baadhi ya michaguo ya usanidi wa mfumo haitoonyeshwa. Hatua za usanidi zipo katika mpangilio wa kupanda: Mtaalam, kiwango cha juu, Aliyemwanzo. Hatua ya Usanidi ya usanidi ikiwa ya juu zaidi(mfano anayeanza ndo kubwa)inapunguza ajali za mtumiaji kusanidi mfumo kwa jinsi ambayo hautoweza kutumika tena.
Sets the default text for new email tickets in the agent interface. Inaweka matini ya chaguo-msingi kwa tiketi za barua pepe mpya katika kiolesura cha wakala.
Sets the minutes a notification is shown for notice about upcoming system maintenance period. Inawekea dakika taarifa inaonyeshwa kwa ilani kuhusu kipindi cha marekebisho ya mfumo ujao.
Shows a link in the menu to close a ticket in every ticket overview of the agent interface. Inaonyesha kiungo kwenye menyu kufunga tiketi katika kila marejeo ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Specifies the path to the converter that allows the view of Microsoft Excel files, in the web interface. Bainisha njia ya kibadili inayoruhusu mandhari ya faili la Microsoft Excel, katika kiolesura cha tovuti.
Stores cookies after the browser has been closed. Inahifadhi vidakuzi baada ya kivinjari kufungwa.
The logo shown in the header of the agent interface. The URL to the image can be a relative URL to the skin image directory, or a full URL to a remote web server. Nembo iliyoonyeshwa kwenye kichwa cha kiolesura cha wakala. URL kwenye taswira inaweza URL inayofanana na gamba la taswira la mpangilio orodha, au URL nzima kwenye seva ya wavuti.
The logo shown in the header of the customer interface. The URL to the image can be a relative URL to the skin image directory, or a full URL to a remote web server. Nembo iliyoonyeshwa kwenye kichwa cha kiolesura cha mteja. URL kwenye taswira inaweza URL inayofanana na gamba la taswira la mpangilio orodha, au URL nzima kwenye seva ya wavuti.
The maximal number of articles expanded on a single page in AgentTicketZoom. Kima cha juu cha namba ya makala imaongezwa katika ukurasa mmoja katika Kikuza cha wakala wa tiketi.
Ticket Overview "Medium" Limit Kikomo cha mapitio ya tiketi ''Wastani''
Ticket Overview "Preview" Limit Kikomo cha mapitio ya tiketi ''Kihakiki'
Ticket Overview "Small" Limit Kikomo cha mapitio ya tiketi ''Ndogo''
Update Ticket "Seen" flag if every article got seen or a new Article got created. Sasisha alama ya tiketi "Imeonekana" kama kila makala imeonekana au makala mpya imetengenezwa.