The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Mapping for outgoing response data Kuunganisha data za majibu zinazotoka nje.
e.g https://www.otrs.com:10745/api/v1.0 (without trailing backslash) mfano https://www.otrs.com:10745/api/v1.0 (bila ya mkwajunyuma unaofuatilia)
The controller that the invoker should send requests to. Variables marked by a ':' will get replaced by the data value and passed along with the request. (e.g. /Ticket/:TicketID?UserLogin=:UserLogin&Password=:Password). Kiendashaji ambacho kichochezi kinatakiwa kitume maombi kwenda. Vishika nafasi vimewekwa alama na ':' kitabadilishwa na thamani ya data na itapitishwa na ombi. (mfano/Tiketi/:Kitambulisho cha tiketi=: Kuingia kwa mtumiaji & neno la siri=:neno la siri).
A specific HTTP command to use for the requests with this Invoker (optional). Amri maalum ya HTTP ya kutumia kwa ajili ya maombi kwa ajili ya kichochezi hiki (Hiari).
The character encoding for the SOAP message contents. Herufi za usimbaji kwa ajili ya maudhui ya ujumbe wa SOAP
If you want to return to overview please click the "Go to overview" button. Kama unataka kurudi katika maelezo tafadhali bofya kibonye cha "Rudi kwenye maelezo"
Restore web service configuration Rejesha usanidi wa huduma za wavuti.
Create new groups to handle access permissions for different groups of agent (e. g. purchasing department, support department, sales department, ...). Tengeneza makundi mapya kushughulikia ruhusa za kupata kwa ajili makundi mbalimbali ya wakala (mfano idara ya manunuzi, idara ya usaidizi, idara mauzo)
It's useful for ASP solutions. Inatumika kwa ufumbuzi wa ASP.
Recent Log Entries Miingio ya batli ya sasa.
If ArticleCreate or ArticleSend is used as a trigger event, you need to specify an article filter as well. Please select at least one of the article filter fields. Kama TengenezaMakala au TumaMAkala inatumika kama kichocheo, unahitaji kubainisha kichuja makala pia. Tafadhali chagua japo uga wa kuchja makala mmoja
Notifications are sent to an agent or a customer. Taarifa zimetumwa kwa wakala au mteja
To get the first 20 character of the subject (of the latest agent article). Kupata herufi 20 za kwanza za somo (kutoka kwa wakala wa karibuni)
To get the first 5 lines of the body (of the latest agent article). Kupata mistari 5 ya kwanza ya kiini (kutoka kwa wakala wa makala wa karibuni)
To get the first 20 character of the subject (of the latest customer article). Kupata herufi 20 za kwanza za somo (kutoka kwa makala ya mteja wa karibuni)
To get the first 5 lines of the body (of the latest customer article). Kupata mistari 5 ya kwanza ya kiini (kutoka kwa makala ya mteja wa karibuni)
This system uses the %s without a proper license! Please make contact with %s to renew or activate your contract! Mfumo huu unatumia %s bila leseni sahihi! Tafadhali fanya mawasiliano na %s kufanya upya au kuamilisha mkataba wako.
An update for your %s is available! Please update at your earliest! Usasishwaji kwa ajili yako %s unapatikana! Tafadhali sasisha mapema.
Before you can benefit from %s, please contact %s to get your %s contract. Kabla haujafaidika kutoka %s, tafadhali wasiliana na %s kupata mkataba wako %s
With your existing contract you can only use a small part of the %s. Kwa mkataba wako uliokuwepo unaweza kutumia sehemu ndogo ya %s