The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Defines the next state of a ticket after being bounced, in the ticket bounce screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo ya tiketi baada ya kuongeza kidokezo, katika skrini ya tiketi inayodunda ya kiolesura cha wakala.
Defines the path and TTF-File to handle bold italic monospaced font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za italiki za herufi nzito za nafasimoja katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle bold italic proportional font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za italiki za herufi nzito zilizosawa katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle bold monospaced font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za herufi nzito za nafasimoja katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle bold proportional font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za herufi nzito zilizosawa katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle italic monospaced font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za italiki za nafasimoja katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle italic proportional font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za italiki zilizosawa katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle monospaced font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za nafasimoja katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle proportional font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti zilizosawa katika waraka wa PDF.
Defines the state of a ticket if it gets a follow-up and the ticket was already closed. Inafafanua hali ya tiketi kama ikipata kufuatiliwa na tiketi ilikuwa tayari imefungwa.
Determines the next possible ticket states, after the creation of a new email ticket in the agent interface. Itaamua hali ya tiketi inayowezekana ifuatayo, baada ya kutengeneza tiketi ya barua pepe mpya katika kiolesura cha wakala.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, a database driver (normally autodetection is used) can be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,viendeshaji hifadhi data(mara nyingi ugunduzi wa otomatiki unatumika) vinaweza kubainishwa.
If "LDAP" was selected for Customer::AuthModule, the user identifier must be specified. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji, kitambulishi cha mtumiaji lazima kibainishwe.
If "SysLog" was selected for LogModule, a special log facility can be specified. Kama "BatliMfumo" imechaguliwa kwa ajili ya ModuliBatli, kituo batli maalum kitabainishwa.
If active, one of the regular expressions has to match the user's email address to allow registration. Kama amilifu,moja ya usemi wa mara kwa mara upaswa kufanana na anwani ya barua pepe ya mtumiaji kuruhusu usajili.
If enabled debugging information for ACLs is logged. Kama imewezeshwa kueua taarifa kwa ajili ya ACL imewekwa batli.
If enabled debugging information for transitions is logged. Kama imewezeshwa kueua taarifa kwa ajili ya mipito imewekwa batli.
It is possible to configure different skins, for example to distinguish between diferent agents, to be used on a per-domain basis within the application. Using a regular expression (regex), you can configure a Key/Content pair to match a domain. The value in "Key" should match the domain, and the value in "Content" should be a valid skin on your system. Please see the example entries for the proper form of the regex. Inawezekana kusanidi magamba tofauti, kwa mfano kutofautisha kati mawakala tofauti, wataokaotumika katika kila huduma kwenye kikoa katika programu tumizi. Kwa kutumia imizo la kawaida (regex), unaweza kusanidi jozi ya yaliyomo/kibonye kulandanisha kikoa. Thamani katika "Kibonye" ilandane na kikoa, na thamani kwenye "Yaliyomo" iwe gamba batili katika mfumo wako. Tafadhali ona maingizo ya mfano kwa ajili fomu sahihi ya imizo la kawaida.
It is possible to configure different skins, for example to distinguish between diferent customers, to be used on a per-domain basis within the application. Using a regular expression (regex), you can configure a Key/Content pair to match a domain. The value in "Key" should match the domain, and the value in "Content" should be a valid skin on your system. Please see the example entries for the proper form of the regex. Inawezekana kusanidi magamba tofauti, kwa mfano kutofautisha kati wateja tofauti, wataokaotumika katika kila huduma kwenye kikoa katika programu tumizi. Kwa kutumia imizo la kawaida (regex), unaweza kusanidi jozi ya yaliyomo/kibonye kulandanisha kikoa. Thamani katika "Kibonye" ilandane na kikoa, na thamani kwenye "Yaliyomo" iwe gamba batili katika mfumo wako. Tafadhali ona maingizo ya mfano kwa ajili fomu sahihi ya imizo la kawaida.
It is possible to configure different themes, for example to distinguish between agents and customers, to be used on a per-domain basis within the application. Using a regular expression (regex), you can configure a Key/Content pair to match a domain. The value in "Key" should match the domain, and the value in "Content" should be a valid theme on your system. Please see the example entries for the proper form of the regex. Inawezekana kusanidi dhima tofauti, kwa mfano kutofautisha kati wakala na wateja, wataokaotumika katika kila huduma kwenye kikoa katika programu tumizi. Kwa kutumia imizo la kawaida (regex), unaweza kusanidi jozi ya yaliyomo/kibonye kulandanisha kikoa. Thamani katika "Kibonye" ilandane na kikoa, na thamani kwenye "Yaliyomo" iwe dhima batili katika mfumo wako. Tafadhali ona maingizo ya mfano kwa ajili fomu sahihi ya imizo la kawaida.