The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Running Process Tickets Endeshaji wa tiketi za mchakato.
Search backend default router. Tafuta kipanga njia chaguo-msingi cha mazingira ya nyuma
Search backend router. Tafuta kipanga njia cha mazingira ya nyuma
Selects the module to handle uploads via the web interface. "DB" stores all uploads in the database, "FS" uses the file system. Inachagua moduli kushughulikia upakiaji kwa kupitia kiolesura cha wavuti. "DB" inahifadhi upakuaji wote katika hifadhi data, "FS" inatumia mfumo wa faili.
Send notifications to users. tuma taarifa kwa watumiaji
Set sender email addresses for this system. Weka anwani za barua pepe ya mtumaji kwa mfumo huu.
Set the maximum height (in pixels) of inline HTML articles in AgentTicketZoom. Weka upeo wa juu wa urefu (katika pikseli) ya ndani ya mstari wa makala za HTML katika kikuzaji cha tiketi cha wakala
Sets the configuration level of the administrator. Depending on the config level, some sysconfig options will be not shown. The config levels are in in ascending order: Expert, Advanced, Beginner. The higher the config level is (e.g. Beginner is the highest), the less likely is it that the user can accidentally configure the system in a way that it is not usable any more. Inaweka hatua ya usanidi ya kiongozi. Inategemeana na hatua ya usanidi, baadhi ya michaguo ya usanidi wa mfumo haitoonyeshwa. Hatua za usanidi zipo katika mpangilio wa kupanda: Mtaalam, kiwango cha juu, Aliyemwanzo. Hatua ya Usanidi ya usanidi ikiwa ya juu zaidi(mfano anayeanza ndo kubwa)inapunguza ajali za mtumiaji kusanidi mfumo kwa jinsi ambayo hautoweza kutumika tena.
Sets the default body text for notes added in the ticket pending screen of a zoomed ticket in the agent interface. Weka kiini cha matini makala chaguo-msingi kwa vidokezo vilivyoongezwa katika skrini ya tiketi inayosubiri ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Sets the default body text for notes added in the ticket priority screen of a zoomed ticket in the agent interface. Weka kiini cha matini makala chaguo-msingi kwa vidokezo vilivyoongezwa katika skrini ya tiketi inayowajibika ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Sets the default body text for notes added in the ticket responsible screen of the agent interface. Weka kiini cha matini makala chaguo-msingi kwa vidokezo vilivyoongezwa katika skrini ya tiketi inayowajibika ya kiolesura cha wakala.
Sets the default error message for the login screen on Agent and Customer interface, it's shown when a running system maintenance period is active. Weka ujumbe wa yaliyokosewa chaguo-msingi kwa skrini ya kuingia kwenye kiolesura cha wakala na mteja, inaonyeshwa wakati wa kipindi amilifu cha matengenezo ya mfumo yanaendelea.
Sets the default subject for notes added in the ticket owner screen of a zoomed ticket in the agent interface. Weka somo chaguo-msingi kwa vidokezo vilivyoongezwa katika skrini ya mmiliki wa tiketi ya tiketi iliyokuzwa ya kiolesura cha wakala.
Sets the default subject for notes added in the ticket priority screen of a zoomed ticket in the agent interface. Weka somo chaguo-msingi kwa vidokezo vilivyoongezwa katika skrini ya kipaumbele cha tiketi ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Sets the default subject for notes added in the ticket responsible screen of the agent interface. Weka somo chaguo-msingi kwa vidokezo vilivyoongezwa katika skrini ya inahusika ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Sets the default text for new email tickets in the agent interface. Inaweka matini ya chaguo-msingi kwa tiketi za barua pepe mpya katika kiolesura cha wakala.
Sets the minutes a notification is shown for notice about upcoming system maintenance period. Inawekea dakika taarifa inaonyeshwa kwa ilani kuhusu kipindi cha marekebisho ya mfumo ujao.
Sets the password for private PGP key. Inaweka neno la siri kwa kibonye cha PGP ya binafsi
Sets the prefix to the scripts folder on the server, as configured on the web server. This setting is used as a variable, OTRS_CONFIG_ScriptAlias which is found in all forms of messaging used by the application, to build links to the tickets within the system. Inaweka kiambishi awali kwenye kabrasha la hati katika seva, kama ilivyosanidi katika seva ya tovuti. Mpangilio huu unatumika kama thamani inayobadilika, OTRS_CONFIG_ScriptAlias ambayo ipo katika miundo yote ya kutuma ujumbe inayotumika programu-tumizi, kujenga viungo kufikia kwenye tiketi katika mfumo.
Sets the queue in the ticket close screen of a zoomed ticket in the agent interface. Weka foleni kwenye skrini ya kufunga kwa tiketi ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala