The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
If set, this address is used as envelope sender in outgoing messages (not notifications - see below). If no address is specified, the envelope sender is equal to queue e-mail address. Kama imewekwa, anwani hii inatumika kama mtumaji wa bahasha katika ujumbe unaokwenda nje (hakuna taarifa- angalia chini). Kama hakuna anwani iliyobainishwa mtumaji wa bahasha ni sawa anwani ya barua pepe ya foleni
International Workers' Day Siku ya kimataifa ya wafanyakazi.
It is possible to configure different skins, for example to distinguish between diferent agents, to be used on a per-domain basis within the application. Using a regular expression (regex), you can configure a Key/Content pair to match a domain. The value in "Key" should match the domain, and the value in "Content" should be a valid skin on your system. Please see the example entries for the proper form of the regex. Inawezekana kusanidi magamba tofauti, kwa mfano kutofautisha kati mawakala tofauti, wataokaotumika katika kila huduma kwenye kikoa katika programu tumizi. Kwa kutumia imizo la kawaida (regex), unaweza kusanidi jozi ya yaliyomo/kibonye kulandanisha kikoa. Thamani katika "Kibonye" ilandane na kikoa, na thamani kwenye "Yaliyomo" iwe gamba batili katika mfumo wako. Tafadhali ona maingizo ya mfano kwa ajili fomu sahihi ya imizo la kawaida.
It is possible to configure different skins, for example to distinguish between diferent customers, to be used on a per-domain basis within the application. Using a regular expression (regex), you can configure a Key/Content pair to match a domain. The value in "Key" should match the domain, and the value in "Content" should be a valid skin on your system. Please see the example entries for the proper form of the regex. Inawezekana kusanidi magamba tofauti, kwa mfano kutofautisha kati wateja tofauti, wataokaotumika katika kila huduma kwenye kikoa katika programu tumizi. Kwa kutumia imizo la kawaida (regex), unaweza kusanidi jozi ya yaliyomo/kibonye kulandanisha kikoa. Thamani katika "Kibonye" ilandane na kikoa, na thamani kwenye "Yaliyomo" iwe gamba batili katika mfumo wako. Tafadhali ona maingizo ya mfano kwa ajili fomu sahihi ya imizo la kawaida.
It is possible to configure different themes, for example to distinguish between agents and customers, to be used on a per-domain basis within the application. Using a regular expression (regex), you can configure a Key/Content pair to match a domain. The value in "Key" should match the domain, and the value in "Content" should be a valid theme on your system. Please see the example entries for the proper form of the regex. Inawezekana kusanidi dhima tofauti, kwa mfano kutofautisha kati wakala na wateja, wataokaotumika katika kila huduma kwenye kikoa katika programu tumizi. Kwa kutumia imizo la kawaida (regex), unaweza kusanidi jozi ya yaliyomo/kibonye kulandanisha kikoa. Thamani katika "Kibonye" ilandane na kikoa, na thamani kwenye "Yaliyomo" iwe dhima batili katika mfumo wako. Tafadhali ona maingizo ya mfano kwa ajili fomu sahihi ya imizo la kawaida.
Locked ticket. Tiketi iliyofungwa
Look into a ticket! Fungia kwenye tiketi
Makes the session management use html cookies. If html cookies are disabled or if the client browser disabled html cookies, then the system will work as usual and append the session id to the links. Inafanya usimamizi wa kipindi utumie vidakuzi vya html. Kama vidakuzi vya html havijawezeshwa au kivinjari cha mteja haijawezesha vidakuzi vya html, mfumo utafanya kazi kama kawaida na itaambatisha kitambulisho cha kipindi kwenye viunganishi.
Manage PGP keys for email encryption. Simamia vibonye vya PGP kwa ajili ya usimbaji fiche wa barua pepe.
Manage POP3 or IMAP accounts to fetch email from. Simamia akaunti za POP3 au IMAP kupata barua pepe kutika huko.
Mark as Spam! Weka alama kama barua taka
Max size (in rows) of the involved agents box in the agent interface. Ukubwa wa upeo juu (katika safu mlalo) wa kikasha wa mawakala wanaohusika katika kioleusura cha wakala.
Module to generate accounted time ticket statistics. Moduli ya kutengeneza takwimu za tiketi za muda unaohusika
New Year's Day Siku ya mwaka mpya.
New Year's Eve Usiku wa kuamkia mwaka mpya.
News about OTRS releases! Taarifa kuhusu matoleo ya OTRS!
No public key found. Data za tiketi hazijapatikana
No valid OpenPGP data found. Data za tiketi hazijapatikana
Overview of all open Tickets. Marejeo ya Tiketi zilizo wazi
Process Management Transition GUI GUI ya mpito cha usimamizi ya mchakato