The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Defines the maximum size (in MB) of the log file. Inafafanua ukubwa wa upeo wa juu (katika MB) wa faili la batli.
Defines the module to display a notification in the agent interface, if the agent is logged in while having out-of-office active. Inafafanua moduli ya kuonyesha taarifa katika kiolesura cha wakala, kama wakala aliingiia nje-ya-ofisi ikiwa amilifu.
Defines the module to display a notification in the agent interface, if the system is used by the admin user (normally you shouldn't work as admin). Inafafanua moduli ya kuonyesha taarifa katika kiolesura cha wakala, kama mfumo unatumika na mtumiaji wa muongozaji(mara zote usipende kufanya kazi kama kiongozi)
Defines the name of the column to store the user identifier in the preferences table. Inafafanua jina la safu wima ya kuhifadhi kitambulishi cha mtumiaji katika jedwali la mapendeleo
Defines the next possible states after composing / answering a ticket in the ticket compose screen of the agent interface. Fafanua hali zinafouta zinazowezekana baada ya kutunga/kujibu tiketi katika skrini ta kutunga tiketi ya kiolesura cha wakala.
Defines the next state of a ticket after adding a note, in the close ticket screen of the agent interface. Fafanua hali zinafouata za tiketi baada ya kuongeza kidokezo, katika skrini ya tiketi iliyofungwa ya kiolesura cha wakala.
Defines the next state of a ticket after adding a note, in the ticket pending screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inafafanua hali ijayo ya tiketi baada ya kuongeza kidokezo, katika skrini ya tiketi ilinayosubiri ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Defines the next state of a ticket after adding a note, in the ticket responsible screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo ya tiketi baada ya kuongeza kidokezo, katika skrini ya tiketi inayohusika ya kiolesura cha wakala.
Defines the next state of a ticket after being bounced, in the ticket bounce screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo ya tiketi baada ya kuongeza kidokezo, katika skrini ya tiketi inayodunda ya kiolesura cha wakala.
Defines the path and TTF-File to handle bold italic monospaced font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za italiki za herufi nzito za nafasimoja katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle bold italic proportional font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za italiki za herufi nzito zilizosawa katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle bold monospaced font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za herufi nzito za nafasimoja katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle bold proportional font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za herufi nzito zilizosawa katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle italic monospaced font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za italiki za nafasimoja katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle italic proportional font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za italiki zilizosawa katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle monospaced font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za nafasimoja katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle proportional font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti zilizosawa katika waraka wa PDF.
Defines the standard size of PDF pages. Inafafanua kiwango cha ukubwa wa kurasa za PDF.
Defines the state of a ticket if it gets a follow-up and the ticket was already closed. Inafafanua hali ya tiketi kama ikipata kufuatiliwa na tiketi ilikuwa tayari imefungwa.
Defines the subject for notification mails sent to agents, about new password. Inafafanua somo kwa barua pepe za taarifa zilizotumwa kwa mawakala, kuhusu neno jipya la siri.