The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
The text at the beginning of the subject in an email reply, e.g. RE, AW, or AS. Matini mwanzoni mwa somo katika majibu ya barua pepe, mfano RE,AW au AS.
The text at the beginning of the subject when an email is forwarded, e.g. FW, Fwd, or WG. Matini mwanzoni mwa somo wakati barua pepe inatumwa mbele, mfano FW, Fwd, au WG.
Theme Mandhari
This module and its PreRun() function will be executed, if defined, for every request. This module is useful to check some user options or to display news about new applications. Moduli hii na fomula saidizi yake PreRun() zitatendewa kazi, kama zikikataliwa, kwa kila ombi. Moduli hii iatumika kuangalia michaguo ya mtumiaji au kuonyesha taarifa kuhusu programu-tumizi mpya.
This option defines the dynamic field in which a Process Management activity entity id is stored. Chaguo hili linafafanua uga wenye nguvu ambao kitambulisho cha kipengele halisi cha shughuli wa usimamizi wa mchakato kinahifadhiwa.
This option defines the dynamic field in which a Process Management process entity id is stored. Chaguo hili linafafanua uga wenye nguvu ambao kitambulisho kipengele halisi cha mchakato wa usimamizi wa mchakato kinahifadhiwa.
This option defines the process tickets default lock. Chaguo hili linafafanua ufungwaji chaguo msingi wa tiketi ya mchakato.
This option defines the process tickets default priority. Chaguo hili linafafanua kipaumbele chaguo msingi ya tiketi ya mchakato.
This option defines the process tickets default queue. Chaguo hili linafafanua foleni chaguo msingi ya tiketi ya mchakato.
This option defines the process tickets default state. Chaguo hili linafafanua hali chaguo msingi ya tiketi ya mchakato.
This option will deny the access to customer company tickets, which are not created by the customer user. Chaguo hili litakuzuia kufikia tiketi za kampuni za mteja, ambazo hazikujatengenezwa na mtumiaji wa mteja.
This setting allows you to override the built-in country list with your own list of countries. This is particularly handy if you just want to use a small select group of countries. Mpangalio huu unakuruhusu kutendua orodha ya nchi ilijengewa ndani kwa orodha yako ya nchi. Inatumika hasa kama unataka kutumia nchi chache usichaguazo.
Ticket Overview "Medium" Limit Kikomo cha mapitio ya tiketi ''Wastani''
Ticket Overview "Preview" Limit Kikomo cha mapitio ya tiketi ''Kihakiki'
Ticket Overview "Small" Limit Kikomo cha mapitio ya tiketi ''Ndogo''
Ticket Queue Overview Mapitio ya foleni ya tiketi
Ticket event module that triggers the escalation stop events. Moduli ya tukio la tiketi ambalo linaamsha tukio la kusimamishwa kuwa upandishwaji.
Ticket overview Marejeo ya tiketi
TicketNumber Namba ya tiketi
Time in seconds that gets added to the actual time if setting a pending-state (default: 86400 = 1 day). Muda katika sekunde ambao unaongezwa kwneye muda halisi kama hali ya kusubiri ikiwekwa (chaguo-msingi: 86400 = siku 1).