The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Defines the default selection at the drop down menu for dynamic objects (Form: Common Specification). Inafafanu chaguo chaguo msingi katika menyu kunjuzi kwa vipengele vyenye nguvu (Kutoka: ubainishi wa kawaida).
Defines the default selection at the drop down menu for permissions (Form: Common Specification). Inafafanu chaguo chaguo msingi katika menyu kunjuzi kwa ajili ya ruhusa (Kutoka: ubainishi wa kawaida).
Defines the default selection at the drop down menu for stats format (Form: Common Specification). Please insert the format key (see Stats::Format). Inafafanu chaguo chaguo msingi katika menyu kunjuzi kwa ajili ya umbizo la takwimu (Kutoka: ubainishi wa kawaida). Tafadhali ingiza kibonye umbizo (Angalia takwimu::Umbizo).
Defines the default sender type for tickets in the ticket zoom screen of the customer interface. Inafafanu aina ya mtumaji chaguo msingi kwa ajili ya tiketi katika skrini iliyokuzwa ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Defines the default shown ticket search attribute for ticket search screen. Example: "Key" must have the name of the Dynamic Field in this case 'X', "Content" must have the value of the Dynamic Field depending on the Dynamic Field type, Text: 'a text', Dropdown: '1', Date/Time: 'Search_DynamicField_XTimeSlotStartYear=1974; Search_DynamicField_XTimeSlotStartMonth=01; Search_DynamicField_XTimeSlotStartDay=26; Search_DynamicField_XTimeSlotStartHour=00; Search_DynamicField_XTimeSlotStartMinute=00; Search_DynamicField_XTimeSlotStartSecond=00; Search_DynamicField_XTimeSlotStopYear=2013; Search_DynamicField_XTimeSlotStopMonth=01; Search_DynamicField_XTimeSlotStopDay=26; Search_DynamicField_XTimeSlotStopHour=23; Search_DynamicField_XTimeSlotStopMinute=59; Search_DynamicField_XTimeSlotStopSecond=59;' and or 'Search_DynamicField_XTimePointFormat=week; Search_DynamicField_XTimePointStart=Before; Search_DynamicField_XTimePointValue=7';. Inafafanua sifa ya tiketi iliyotafutwa iliyoonyeshwa chaguo msingi kwa skrini ya kutafuta tiketi. Mfano: "Kibonye" lazima iwe na jina la uga wenye nguvu kwa hapa ni 'X', "Maudhui" lazima iwe na thamani ua uga wenye nguvu kutegemeana na aina ya uga wenye nguvu, Matini:'Matini', Kunjuzi: '1', Tarehe/Muda: Mwaka wa kuanza wa majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa=1974; Mwezi wa kuanza wa majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa=01; Siku ya kuanza ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa=26; Saa ya kuanza ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =00; Dakika ya kuanza ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa = 00; Sekunde ya kuanza ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa = 00; Mwaka wa kuisha wa majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =2013; Mwezi wa kuisha wa majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =01; Siku ya kuisha ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =26; Saa ya kuisha ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =23; Dakika ya kuisha ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =59; Sekunde ya kuisha ya majira ya muda uliopangwa X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa =59; na au Umbizo la pointi ya muda X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa = Week; Mwanzo wa pointi ya muda X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa = Kabla; Thamani ya pointi ya muda X ya uga wenye nguvu uliotafutafutwa = 7;
Defines the default subject of a note in the ticket free text screen of the agent interface. Inafafanua somo chaguo-msingi ya kidokezo katika skrini ya matini huru ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Defines the default ticket bounced notification for customer/sender in the ticket bounce screen of the agent interface. Inafafanua taarifa za tiketi chaguo-msingi zilizodunda kwa mteja/mtumaji katika skrini ya tiketi zilizodunda za kiolesura cha wakala.
Defines the default ticket order in the watch view of the agent interface. Up: oldest on top. Down: latest on top. Inafafanua mpangilio wa tiketi chaguo-msingi katika mandhari ya kuangalia ya kiolesura cha wakala. Juu: Kongwe juu. Chini: Za sasa juu.
Defines the default used Frontend-Module if no Action parameter given in the url on the agent interface. Fafanua chaguo-msingi inayotumika katika Moduli-Mbelenyuma kama hakuna kigezo cha kitendo iliyotolewa na url kwa kiole sura cha wakala.
Defines the default used Frontend-Module if no Action parameter given in the url on the customer interface. Fafanua chaguo-msingi inayotumika katika Moduli-Mbelenyuma kama hakuna kigezo cha kitendo iliyotolewa na url kwa kiole sura cha mteja.
Defines the format of responses in the ticket compose screen of the agent interface ([% Data.OrigFrom | html %] is From 1:1, [% Data.OrigFromName | html %] is only realname of From). Inafafanua umbizo la majibu katika skrini ya kutunga ya tiketi ya kiolesura ya wakala ([% Data.OrigFrom | html %] is From 1:1, [% Data.OrigFromName | html %] is only realname of From).
Defines the height for the rich text editor component. Enter number (pixels) or percent value (relative). Inafafanua urefu kwa kijenzi cha mhariri wa matini tajini kwa skrini hii. Ingiza namba (Pikseli) au thamani ya asilimia (Inayohusika).refu wa
Defines the history comment for this operation, which gets used for ticket history in the agent interface. Inafafanua maoni ya historia kwa uendeshaji huu, ambayo inatumika kwa ajili ya historia ya tiketi katika kiolesura cha wakala.
Defines the history type for the ticket owner screen action, which gets used for ticket history in the agent interface. Inafafanua aina ya historia kwa kitendo cha skrini ya mmiliki wa tiketi, ambayo inatumika kwa ajili ya historia ya tiketi katika kiolesura cha wakala.
Defines the history type for the ticket phone inbound screen action, which gets used for ticket history in the agent interface. Inafafanua aina ya historia kwa kitendo cha skrini iliyofungwa ndani ya simu ya tiketi, ambayo inatumika kwa ajili ya historia ya tiketi katika kiolesura cha wakala.
Defines the history type for the ticket phone outbound screen action, which gets used for ticket history in the agent interface. Inafafanua aina ya historia kwa kitendo cha skrini iliyofungwa nje ya simu ya tiketi, ambayo inatumika kwa ajili ya historia ya tiketi katika kiolesura cha wakala.
Defines the link type groups. The link types of the same group cancel one another. Example: If ticket A is linked per a 'Normal' link with ticket B, then these tickets could not be additionally linked with link of a 'ParentChild' relationship. Inafafanua aina ya kiunganishi vikundi. Aina za viunganishi zilizokatika kikundi kimoja zinajifuta zenyewe.Mfano: Kama tiketi A imeunganishwa na kiunganishi 'Kawaida' na tiketi B, tiketi hizi haziwezi kuunganishwa tena na kiunganishi kutoka 'Zazi mtoto'.
Defines the location to get online repository list for additional packages. The first available result will be used. Inafafanua sehemu ya kupata orodha hifadhi mtandaoni kwa vifurushi vilivyoongezwa. Jibu la kwanza lililopo litatumika.
Defines the log module for the system. "File" writes all messages in a given logfile, "SysLog" uses the syslog daemon of the system, e.g. syslogd. Inafafanua moduli batli kwa mfumo. "Faili" inaandika jumbe zote katika faili batli lilipo, "BatliMfumo" unatumia batli mfumo jini wa mfumo mfano syslogd
Defines the maximal size (in bytes) for file uploads via the browser. Warning: Setting this option to a value which is too low could cause many masks in your OTRS instance to stop working (probably any mask which takes input from the user). Inafafanua upeo wa juu wa ukubwa (katika baiti) kwa ajili ya kupakia faili kwa kivinjari. Onyo: kuwekea chaguo hili thamani ambayo ni ndogo sana inaweza kusababisha barakoa nyingi katika OTRS yako kuacha kufanya kazi (Pengine barakoa inayochukua miingizo kutoka kwa mtumiaji)