The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Specifies if an agent should receive email notification of his own actions. Inabainisha kama wakala apokee taarifa ya barua pepe kwa ajili ya matendo yake.
Specifies the directory where SSL certificates are stored. Inabainisha mpangilio orodha ambapo vyeti cha SSL vimehifadhiwa.
Specifies the directory where private SSL certificates are stored. Inabainisha mpango ordha ambapo Vyeti vya SSL binafsi vimehifadhiwa.
Specifies the group where the user needs rw permissions so that he can access the "SwitchToCustomer" feature. Bainisha kikundi ambacho mtumiaji anahitaji ruhusa za rw ili aweze kufikia kipengele cha "Badili kwenda kwa Mteja".
Specifies the order in which the firstname and the lastname of agents will be displayed. Inabainisha mpangilio ambao jina la kwanza na jina la mwisho ya mawakala yataonyeshwa.
Specifies the path of the file for the logo in the page header (gif|jpg|png, 700 x 100 pixel). Inabainisha njia kwenda kwenye faili kwa ajili ya nembo katika kichwa cha ukurasa (gif|jpg|png, 700 x 100 pikseli).
Specifies the path of the file for the performance log. Bainisha njia ya faili kwa ajili ya batli ya utendaji.
Specifies the path to the converter that allows the view of Microsoft Excel files, in the web interface. Bainisha njia ya kibadili inayoruhusu mandhari ya faili la Microsoft Excel, katika kiolesura cha tovuti.
Specifies the path to the converter that allows the view of Microsoft Word files, in the web interface. Inabainisha njia ya kibadilishaji ambayo inaruhusu mandhari ya mafaili ya Microsoft Word, katika kiolesura cha tovuti.
Specifies the path to the converter that allows the view of PDF documents, in the web interface. Inabainisha njia ya kibadilishaji ambayo inaruhusu mandhari ya nyaraka za PDF, katika kiolesura cha tovuti.
Specifies the path to the converter that allows the view of XML files, in the web interface. Inabainisha njia ya kibadilishaji ambayo inaruhusu mandhari ya mafaili ya XML, katika kiolesura cha tovuti.
Specifies the text that should appear in the log file to denote a CGI script entry. Bainisha matini ambayo inatokea katika faili la batli kuchangia hati ya CGI.
Specifies user id of the postmaster data base. Bainisha kitambulisho cha mtumiaji cha hifadhi data cha mkuu wa posti.
Specify how many sub directory levels to use when creating cache files. This should prevent too many cache files being in one directory. Bainisha ngazi ngapi za vipengele vya mpangilio orodha vya kutumia wakati wa kutengeneza faili la hifadhi muda. Hii izuie mafaili mengi kuwa kwenye mpangilio orodha moja.
Specify the channel to be used to fetch OTRS Business Solution™ updates. Warning: Development releases might not be complete, your system might experience unrecoverable errors and on extreme cases could become unresponsive! Bainisha mkondo utakao tumika kuchukua usasishwaji wa OTRS Business Solution™. Onyo: Matoleo ya maendeleo yanaweza yasiwe kamili, mfumo wako unaweza kupata matatizo yasiyoweza kupona na kwa hali za zilizokithiri unaweza kuwa hauwezi kuji.
Standard available permissions for agents within the application. If more permissions are needed, they can be entered here. Permissions must be defined to be effective. Some other good permissions have also been provided built-in: note, close, pending, customer, freetext, move, compose, responsible, forward, and bounce. Make sure that "rw" is always the last registered permission. Ruhusa zinazopatikana za kiwango kwa mawakala ndani ya programu tumizi. Kama ruhusa zaidi zinahitajika, zinaweza kuingizwa hapa. Ruhusa lazima zifafanuliwe kuwa za ufanis. Baadhi ya ruhusa nzuri zimejengwa ndani: Kidokezo,Kungoja, Mteja, matini huru, kusogeza, Kutunga, uhusika, kutuma mbele na udundaji. Hakikisha kwamba "rw" sikuzote ni ruhusa ya mwisho kusajiliwa.
Start number for statistics counting. Every new stat increments this number. Anza namba kwa ajili ya hesabu ya takwimu. Kila takwimu mpya ongeza namba hii.
Starts a wildcard search of the active object after the link object mask is started. Anza utafutaji wa kibambo egemezi wa kipengele amilifu baada ya barakoa ya kipengele kiunganishi kuanza.
Stat# Takwimu#
States Hali