The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Show the current owner in the customer interface. Inaonyesha mmiliki wa sasa katika kiolesura cha mteja.
Show the current queue in the customer interface. Inaonyesha foleni ya sasa katika kiolesura cha mteja.
Show the ticket history Onyesha historia ya tiketi
Shows a link in the menu to add a note to a ticket in every ticket overview of the agent interface. Inaonyesha kiungo kwenye menyu kuongeza kidokezo katika tiketi kwa kila marejeo ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Shows a link in the menu to close a ticket in every ticket overview of the agent interface. Inaonyesha kiungo kwenye menyu kufunga tiketi katika kila marejeo ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Shows a link in the menu to delete a ticket in every ticket overview of the agent interface. Additional access control to show or not show this link can be done by using Key "Group" and Content like "rw:group1;move_into:group2". Inaonyesha kiungo katika menyu cha kufuta tiketi katika mapitio ya kila tiketi ya kiolesura cha wakala. Udhibiti ufikivu umeongezwa kuongesha au kutokuonyesha kiungo hiki kinaweza kufanywa kwa kutumia kibonye "Kikundi" na yaliyomo kama "rw: Kikundi cha 1; Hamia_kwenye: kikundi cha 2".
Shows a link in the menu to enroll a ticket into a process in the ticket zoom view of the agent interface. Inaonyesha kiungo kwenye menyu kuandikisha tiketi katika mchakato katika mandhari iliyokuzwa ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Shows a link in the menu to lock / unlock a ticket in the ticket overviews of the agent interface. Inaonyesha kiungo katika menyu kufunga/kufungua tiketi katia marejeo ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Shows a link in the menu to move a ticket in every ticket overview of the agent interface. Inaonyesha kiungo katika menyu kuhamisha tiketi katika kila marejeo ya kila tiketi ya kiolesura cha wakala.
Shows a link in the menu to see the history of a ticket in every ticket overview of the agent interface. Inaonyesha kiungo katika menyu kuona historia ya tiketi katika marejeo ya kila tiketi ya kiolesura cha wakala.
Shows a link in the menu to set the priority of a ticket in every ticket overview of the agent interface. Inaonyesha kiungo katika menyu kuona kipaumbele cha tiketi katika marejeo ya kila tiketi ya kiolesura cha wakala
Shows a link in the menu to zoom a ticket in the ticket overviews of the agent interface. Inaonyesha kiungo katika menyu kukuza tiketi katika mapitio ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Shows a link to access article attachments via a html online viewer in the zoom view of the article in the agent interface. Inaonyesha kiungo kufikia viambatanishi vya makala kupitia mandhari ya mtandaoni ya html katika mandhari iliyokuzwa ya makala katika kiolesura cha wakala.
Shows a link to download article attachments in the zoom view of the article in the agent interface. Inaonyesha kiungo cha kupakua viambatanishi vya makala katika mandhari iliyokuzwa ya makala ya kiolesura cha wakala.
Shows a link to see a zoomed email ticket in plain text. Inaonyesha link kuona tiketi ya barua pepe iliyokuzwa katika matini wazi.
Shows a list of all the involved agents on this ticket, in the close ticket screen of the agent interface. Inaonyesha orodha ya mawakala wote waliohusika katika tiketi hii, katika skrini ya tiketi ya kufunga ya kiolesura cha wakala.
Shows a list of all the involved agents on this ticket, in the ticket free text screen of the agent interface. Inaonyesha orodha ya mawakala wote waliohusika katika tiketi hii, katika skrini ya ya matini huru ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Shows a list of all the involved agents on this ticket, in the ticket note screen of the agent interface. Inaonyesha orodha ya mawakala wote waliohusika katika tiketi hii, katika skrini ya kidokezo cha tiketi ya kiolesura cha wakala.
Shows a list of all the involved agents on this ticket, in the ticket owner screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inaonyesha orodha ya mawakala wote waliohusika katika tiketi hii, katika skrini ya mmiliki wa tiketi ya kiolesura cha wakala.
Shows a list of all the involved agents on this ticket, in the ticket pending screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inaonyesha orodha ya mawakala wote waliohusika katika tiketi hii, katika skrini ya kusubiri ya tiketi ya tikei iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.