The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Sets the responsible agent of the ticket in the ticket free text screen of the agent interface. Inamuweka wakala mhusika wa tiketi katika skrini ya matini huru ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Sets the responsible agent of the ticket in the ticket note screen of the agent interface. Inamuweka wakala mhusika wa tiketi katika skrini ya kidokezo cha tiketi ya kiolesura cha wakala.
Sets the responsible agent of the ticket in the ticket owner screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inamuweka wakala mhusika wa tiketi katika skrini ya mmiliki wa tiketi ya kiolesura cha wakala.
Sets the responsible agent of the ticket in the ticket pending screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inamuweka wakala mhusika wa tiketi katika skrini ya tiketi inayosubiri ya tketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Sets the responsible agent of the ticket in the ticket priority screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inamuweka wakala mhusika wa tiketi katika skrini ya kipaumbele cha tiketi ya tketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Sets the responsible agent of the ticket in the ticket responsible screen of the agent interface. Inamuweka wakala mhusika wa tiketi katika skrini ya tiketi inayohusika ya kiolesura cha wakala.
Sets the stats hook. Inaweka ndoano ya takwimu.
Sets the ticket owner in the close ticket screen of the agent interface. Inamuweka mmiliki wa tiketi katika skrini ya kufunga ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Sets the ticket owner in the ticket bulk screen of the agent interface. Inamuweka mmiliki wa tiketi katika skrini ya wingi ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Sets the ticket owner in the ticket free text screen of the agent interface. Inamuweka mmiliki wa tiketi katika skrini matini huru ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Sets the ticket owner in the ticket note screen of the agent interface. Inamuweka mmiliki wa tiketi katika skrini ya kidokezo cha tiketi ya kiolesura cha wakala.
Sets the ticket owner in the ticket owner screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inamuweka mmiliki wa tiketi katika skrini ya mmiliki wa tiketi ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Sets the ticket owner in the ticket pending screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inamuweka mmiliki wa tiketi katika skrini inayosubiri ya tiketi ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Sets the ticket owner in the ticket priority screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inamuweka mmiliki wa tiketi katika skrini kipaumbele cha tiketi ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Sets the ticket owner in the ticket responsible screen of the agent interface. Inamuweka mmiliki wa tiketi katika skrini inayohusika ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Sets the ticket type in the ticket bulk screen of the agent interface. Inaweka aina ya tiketi katika skrini ya wingi ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Sets the timeout (in seconds) for http/ftp downloads. Inaweka muda wa kuisha (katika sekunde) kwa http/ftp za kupakua.
Sets the timeout (in seconds) for package downloads. Overwrites "WebUserAgent::Timeout". InawekInaweka muda wa kuisha (katika sekunde) kwa vifurushi vya kupakua. Inaandika kwa juu ya "wakala wa mtumiaji wa tovuti::Muda umekwisha".
Show a responsible selection in phone and email tickets in the agent interface. Inaonyesha uchaguzi husika katika simu na tiketi za barua pepe katika kiolesura cha wakala.
Show article as rich text even if rich text writing is disabled. Inaonyesha makala kama matini tajiri hata kama uandishi wa matini tajiri haujaruhusiwa.