The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Running Process Tickets Endeshaji wa tiketi za mchakato.
Runs an initial wildcard search of the existing customer users when accessing the AdminCustomerUser module. Inatafuta utafutaji wa kwanza wa kibambo egemezi wa mtumiaji wa mteja ayiekuwepo wakati wa kufikia moduli ya mteja mtumiaji kiongozi.
S/MIME Certificates Vyeti vya S/MIME
Salutations Salamu
Schedule a maintenance period. Panga ratiba ya muda wa matengenezo.
Screen after new ticket Skrini baada ya tiketi mpya
Search Customer Tafuta mteja
Search User Tafuta mtumiaji
Search backend default router. Tafuta kipanga njia chaguo-msingi cha mazingira ya nyuma
Search backend router. Tafuta kipanga njia cha mazingira ya nyuma
Second Christmas Day Siku ya pili ya krisimasi
Select the separator character used in CSV files (stats and searches). If you don't select a separator here, the default separator for your language will be used. Chagua kitenganishi cha herufi kilichotumika katika mafaili ya CVS( anza na tafuta). Kama hujakiona kitenganishi hapa, kitenganishi chaguo-msingi cha lugha yako kitatumika.
Select your frontend Theme. Chagua dhima ya mazingira yako ya mbele.
Selects the cache backend to use. Chagua hifadhi muda ya mazingira ya nyuma ya kutumia.
Selects the module to handle uploads via the web interface. "DB" stores all uploads in the database, "FS" uses the file system. Inachagua moduli kushughulikia upakiaji kwa kupitia kiolesura cha wavuti. "DB" inahifadhi upakuaji wote katika hifadhi data, "FS" inatumia mfumo wa faili.
Send notifications to users. tuma taarifa kwa watumiaji
Sender type for new tickets from the customer inteface. Aina ya mtumaji kwa tiketi mpya kutoka kwa kiolesura cha mtej.
Sends agent follow-up notification only to the owner, if a ticket is unlocked (the default is to send the notification to all agents). Tuma taarifa za ufuatiliaji za wakala kwa mmiliki tu, kama tiketi imefunguliwa (Chaguo-msingi ni kutuma taarifa kwa mawakala wote).
Sends all outgoing email via bcc to the specified address. Please use this only for backup reasons. Tuma bariu pepe za kwenda nje zote kupitia bcc kwa anwani iliyobainishwa.Tafadhali tumia hii kwa sababu za chelezo.
Sends reminder notifications of unlocked ticket after reaching the reminder date (only sent to ticket owner). Tuma taarifa za kukumbusha za tiketi iliyofunguliwa baada ya kufikia tarehe kukumbushwa. (Inatumwa kwa mmiliki wa tiketi tu).