The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Allows choosing between showing the attachments of a ticket in the browser (inline) or just make them downloadable (attachment). Inaruhusu kuchagua kati ya kuonyesha viambatisho vya tiketi katika kivinjari (ndani ya mstari) au kuzifanya ziweze kupakuliwa (kiambatisho)
CSV Separator Kitenganishi cha CSV
Christmas Eve Usiku wa kuamkia Krismasi.
Controls how to display the ticket history entries as readable values. Inadhibiti jinsi ya kuonyesha maingizo ya historia ya tiketi kama thamani zinazosomeka.
Controls if more than one from entry can be set in the new phone ticket in the agent interface. Inadhibiti kama kuna ingizo zaidi moja linawezwa kuwekwa katika tiketi ya simu mpya katika kiolesura cha wakala.
Controls if the admin is allowed to import a saved system configuration in SysConfig. Inadhibiti kama kiongozi anaruhusiwa kuleta usanidi wa mfumo uliohifadhiwa katika UsanidiMfumo
Default ACL values for ticket actions. Thamani za ACL chaguo msingi kwa ajili ya vitendo vya tiketi.
Default data to use on attribute for ticket search screen. Example: "TicketCreateTimePointFormat=year;TicketCreateTimePointStart=Last;TicketCreateTimePoint=2;". Data chaguo misngi kutumika katika sifa kwa ajili ya skrini ya kutafuta ya tiketi.
Mfano:
"Umbizo la Muda la Kutengeneza Tiketi= mwaka; Mwanzo wa Muda wa kutengeneza tiketi= Mwisho; Pointi ya muda wa kutengeneza tiketi=2;".
Default data to use on attribute for ticket search screen. Example: "TicketCreateTimeStartYear=2010;TicketCreateTimeStartMonth=10;TicketCreateTimeStartDay=4;TicketCreateTimeStopYear=2010;TicketCreateTimeStopMonth=11;TicketCreateTimeStopDay=3;". Data chaguo-msingi kutumia katika sifa kwa ajili ya skrini ya kutafuta ya tiketi:
"Mwaka wa kuanza wa muda wa kutengeneza tiketi=2010; Mwezi wa kuanza wa muda wa kutengeneza tiketi=10; Siku ya kuanza ya muda wa kutengeneza tiketi=4; Mwaka wa kuacha wa muda wa kutengeneza tiketi =2010; Mwezi wa kuacha wa muda wa kutengeneza tiketi = 11; Siku ya kuacha ya muda wa kutengeneza tiketi=3; ".
Defines a regular expression that excludes some addresses from the syntax check (if "CheckEmailAddresses" is set to "Yes"). Please enter a regex in this field for email addresses, that aren't syntactically valid, but are necessary for the system (i.e. "root@localhost"). Inafafanua semi za kawaida ambazo zinazuia baadhi ya anwani kwenye uangalizi wa sintaksi("Uangalizi wa Anwani za Barua pepe" umewekwa kuwa "Yes"). Tafadhali ingia regex katika uga huu kwa ajili ya anwani za barua pepe, ambazo kisintentiki zipo batili, lakini ni za lazima kwa ajili ya mfumo (mfano "root@localhost").
Defines all the parameters for the RefreshTime object in the customer preferences of the customer interface. Inaelezea vigezo vyote kwa kipengele cha Muda wa kuonyesha upya katika mapendeleo ya mteja ya kiolesura cha mteja.
Defines an alternate logout URL for the customer panel. Inafafanua URL ya kutoka mbadala kwa paneli ya mteja.
Defines how the From field from the emails (sent from answers and email tickets) should look like. Inafafanua jinsi uga wa Kutoka kutoka kwenye barua pepe (umetumwa kutoka kwenye majibu na tiketi za barua pepe) unatakiwa ufanane.
Defines if a ticket lock is required in the close ticket screen of the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya kufunga tiketi ya kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket bounce screen of the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya tiketi inayodunda ya kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket owner screen of a zoomed ticket in the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya mmiliki wa tiketi ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket priority screen of a zoomed ticket in the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya kipaumbele ya tiketi ya tiketi iliyokuzwa kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines the body text for rejected emails. Inafafanua kiini cha matini ya barua pepe zilizokataliwa
Defines the date input format used in forms (option or input fields). Inafafanua umbizo umbizo ingizo la tarehe linalotumika katika fomu (hiari au uga ingizo).
Defines the default maximum number of X-axis attributes for the time scale. Inafafanua upeo wa juu wa namba chaguo msingi ya sifa za jira X kwa ajili ya mzani wa muda.