The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Module to use database filter storage. Moduli ya kutumia hifadhi ya kichujua cha hifadhi data.
Multiselect Uchaguzi wa wingi
My Queues Foleni zangu
My Services Huduma zangu
Name of custom queue. The custom queue is a queue selection of your preferred queues and can be selected in the preferences settings. Jina la foleni maalum. Foleni maalum ni uchaguzi wa foleni wa foleni zako unazozipendelea na zinazeweza kuchaguliwa katika mipangilio ya mapendeleo.
Name of custom service. The custom service is a service selection of your preferred services and can be selected in the preferences settings. Jina la huduma maalum. Huduma maalum ni uchaguzi wa huduma wa huduma zako unazozipendelea na zinazeweza kuchaguliwa katika mipangilio ya mapendeleo.
NameX Jina X
New Ticket Tiketi mpya
New Tickets Tiketi Mpya
New Year's Day Siku ya mwaka mpya.
New Year's Eve Usiku wa kuamkia mwaka mpya.
New process ticket Tiketi Mpya ya mchakato
News about OTRS releases! Taarifa kuhusu matoleo ya OTRS!
Next possible ticket states after adding a phone note in the ticket phone inbound screen of the agent interface. Hali za tiketi zijazo ziwezekanazo baada ya kuongeza kidokezo cha simu katika skrini iliyofungwa ndani ya simu ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Next possible ticket states after adding a phone note in the ticket phone outbound screen of the agent interface. Hali za tiketi zijazo ziwezekanazo baada ya kuongeza kidokezo cha simu katika skrini iliyofungwa nje ya simu ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Number of displayed tickets Namba ya tiketi zilizoonyeshwa
Number of lines (per ticket) that are shown by the search utility in the agent interface. Namba ya mistari (kwa kila tiketi) ambazo zinaonyeshwa na kifaa ha utafutaji katika kiolesura cha wakala.
Number of tickets to be displayed in each page of a search result in the agent interface. Namba ta tiketi zitakazoonyeshwa katika kila ukurasa wa matokeo ya utafutaji katika kiolesura cha wakala.
Number of tickets to be displayed in each page of a search result in the customer interface. Namba ta tiketi zitakazoonyeshwa katika kila ukurasa wa matokeo ya utafutaji katika kiolesura cha mteja.
OTRS News OTRS Habari