The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
If any of the "SMTP" mechanisms was selected as SendmailModule, and authentication to the mail server is needed, an username must be specified. Kama moja ya taratibu za "SMTP" itachaguliwa kama Moduli ya Barua pepe ya kutuma, na uhalalishaji kwenye seva ya barua pepe unahitajika, jina la mtumiaji lazima libainishwe.
If any of the "SMTP" mechanisms was selected as SendmailModule, the mailhost that sends out the mails must be specified. Kama moja ya taratibu za "SMTP" itachaguliwa kama Moduli ya Barua pepe ya kutuma, mwenyeji wa barua pepe ambaye anatuma lazima abainishwe.
If any of the "SMTP" mechanisms was selected as SendmailModule, the port where your mailserver is listening for incoming connections must be specified. Kama moja ya taratibu za "SMTP" itachaguliwa kama Moduli ya Barua pepe ya kutuma, kituo tarishi ambacho seva yako ya barua pepe inasikiliza kwa ajili ya miunganisho inayoingia lazima ibainishwe.
If enabled debugging information for ACLs is logged. Kama imewezeshwa kueua taarifa kwa ajili ya ACL imewekwa batli.
If enabled debugging information for transitions is logged. Kama imewezeshwa kueua taarifa kwa ajili ya mipito imewekwa batli.
If enabled, OTRS will deliver all JavaScript files in minified form. Kama imezeshwa, OTRS itawasilisha mafaili yote ya JavaScript katika umbo dogo.
If enabled, TicketPhone and TicketEmail will be open in new windows. Kama imewezeshwa, Simu ya tiketi na barua pepe ya tiketi zitafunguliwa katika windows mpya.
If enabled, the different overviews (Dashboard, LockedView, QueueView) will automatically refresh after the specified time. Kama imewezeshwa, mapitio mbalimbali (dashibodi, Mandhari iliyofungwa, Mandhari ya foleni) itaonyeshwa upya otomatiki baada ya muda uliobainishwa.
If enabled, the first level of the main menu opens on mouse hover (instead of click only). Kama imewezeshwa,ngazi ya kwanza ya menyu kuu itafunguka katika uambaaji wa juu wa kipanya (badala ya kubofya tu)
If set, this address is used as envelope sender in outgoing messages (not notifications - see below). If no address is specified, the envelope sender is equal to queue e-mail address. Kama imewekwa, anwani hii inatumika kama mtumaji wa bahasha katika ujumbe unaokwenda nje (hakuna taarifa- angalia chini). Kama hakuna anwani iliyobainishwa mtumaji wa bahasha ni sawa anwani ya barua pepe ya foleni
If this regex matches, no message will be send by the autoresponder. Kama regex inafanana, hakuna ujumbe utakaotumwa na kiitiko cha ototmatiki.
Includes article create times in the ticket search of the agent interface. Inahusisha muda wa kutengeneza makala katika utafutaji wa tiketi wa kiolesura cha wakala.
Input Ingizo
Interface language Lugha ya kiolesura
International Workers' Day Siku ya kimataifa ya wafanyakazi.
It is possible to configure different skins, for example to distinguish between diferent agents, to be used on a per-domain basis within the application. Using a regular expression (regex), you can configure a Key/Content pair to match a domain. The value in "Key" should match the domain, and the value in "Content" should be a valid skin on your system. Please see the example entries for the proper form of the regex. Inawezekana kusanidi magamba tofauti, kwa mfano kutofautisha kati mawakala tofauti, wataokaotumika katika kila huduma kwenye kikoa katika programu tumizi. Kwa kutumia imizo la kawaida (regex), unaweza kusanidi jozi ya yaliyomo/kibonye kulandanisha kikoa. Thamani katika "Kibonye" ilandane na kikoa, na thamani kwenye "Yaliyomo" iwe gamba batili katika mfumo wako. Tafadhali ona maingizo ya mfano kwa ajili fomu sahihi ya imizo la kawaida.
It is possible to configure different skins, for example to distinguish between diferent customers, to be used on a per-domain basis within the application. Using a regular expression (regex), you can configure a Key/Content pair to match a domain. The value in "Key" should match the domain, and the value in "Content" should be a valid skin on your system. Please see the example entries for the proper form of the regex. Inawezekana kusanidi magamba tofauti, kwa mfano kutofautisha kati wateja tofauti, wataokaotumika katika kila huduma kwenye kikoa katika programu tumizi. Kwa kutumia imizo la kawaida (regex), unaweza kusanidi jozi ya yaliyomo/kibonye kulandanisha kikoa. Thamani katika "Kibonye" ilandane na kikoa, na thamani kwenye "Yaliyomo" iwe gamba batili katika mfumo wako. Tafadhali ona maingizo ya mfano kwa ajili fomu sahihi ya imizo la kawaida.
It is possible to configure different themes, for example to distinguish between agents and customers, to be used on a per-domain basis within the application. Using a regular expression (regex), you can configure a Key/Content pair to match a domain. The value in "Key" should match the domain, and the value in "Content" should be a valid theme on your system. Please see the example entries for the proper form of the regex. Inawezekana kusanidi dhima tofauti, kwa mfano kutofautisha kati wakala na wateja, wataokaotumika katika kila huduma kwenye kikoa katika programu tumizi. Kwa kutumia imizo la kawaida (regex), unaweza kusanidi jozi ya yaliyomo/kibonye kulandanisha kikoa. Thamani katika "Kibonye" ilandane na kikoa, na thamani kwenye "Yaliyomo" iwe dhima batili katika mfumo wako. Tafadhali ona maingizo ya mfano kwa ajili fomu sahihi ya imizo la kawaida.
Language Lugha
Large Kubwa