The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
GenericInterface Operation GUI GUI ya uendeshaji ya kiolesura cha ujumla
GenericInterface TransportHTTPREST GUI GUI ya usafirishaji ya HTTPREST ya kiolesura cha ujumla
GenericInterface TransportHTTPSOAP GUI GUI ya usafirishaji ya HTTPSOAP ya kiolesura cha ujumla
GenericInterface Web Service GUI GUI ya huduma ya tovuti ya kiolesura cha ujumla.
GenericInterface module registration for the invoker layer. Usajili wa moduli ya kiolesura cha jumla kwaajili la tabaka la kihamshaji.
GenericInterface module registration for the mapping layer. Usajili wa moduli ya kiolesura cha jumla kwaajili la tabaka la kutengeneza ramani.
GenericInterface module registration for the operation layer. Usajili wa moduli ya kiolesura cha jumla kwaajili la tabaka la utendaji.
GenericInterface module registration for the transport layer. Usajili wa moduli ya kiolesura cha jumla kwaajili la tabaka la usafirishaji.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, a database driver (normally autodetection is used) can be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,viendeshaji hifadhi data(mara nyingi ugunduzi wa otomatiki unatumika) vinaweza kubainishwa.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, a password to connect to the customer table can be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,neno la siri la kuunganisha kwenye jedwali la mteja linaweza kubainishwa.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, a username to connect to the customer table can be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,jina la mtumiaji la kuunganisha kwenye jedwali la mteja linaweza kubainishwa.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, the DSN for the connection to the customer table must be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,DNS kwa jilia ya kuunganisha kwenye jedwali la mteja linaweza kubainishwa.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, the column name for the CustomerPassword in the customer table must be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,jina la safu wima kwa ajili ya neno la siri la mteja katika jedwali la mteja lazima libainishwe.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, the name of the column for the CustomerKey in the customer table must be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,jina la safu wima kwa ajili ya funguo wa mteja katika jedwali la mteja lazima libainishwe.
If "DB" was selected for Customer::AuthModule, the name of the table where your customer data should be stored must be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji,jina la jedwali ambapo data za mteja wako zitahifadhiwa lazima libainishwe.
If "DB" was selected for SessionModule, a table in database where session data will be stored must be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Moduli ya kipindi, jedwali katika hifadhi data ambapo data za kipindi zitahifadhiwa lazima zibainishwe.
If "FS" was selected for SessionModule, a directory where the session data will be stored must be specified. Kama "DB" inachaguliwa kwa ajili ya Moduli ya kipindi, mpangilio orodha ambapo data za kipindi zitahifadhiwa lazima zibainishwe.
If "HTTPBasicAuth" was selected for Customer::AuthModule, you can specify (by using a RegExp) to strip parts of REMOTE_USER (e. g. for to remove trailing domains). RegExp-Note, $1 will be the new Login. Kama "Uhifadhi wa msingi wa HTTP" inachaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji, unaweza kubainisha (kwa kutumia RegExp) kuachanisha sehemu za MTUMIAJI_WA_MBALI (mfano kuongoa vikoa mkia). RegExp-Note, $1 itakuwa muingio mpya.
If "LDAP" was selected for Customer::AuthModule and if you want to add a suffix to every customer login name, specifiy it here, e. g. you just want to write the username user but in your LDAP directory exists user@domain. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji na kama unahitaji kuongeza kiambishi kwa kila jina la mteja la kuingia, bainisha hapa, mfano unataka kuandika jina la mtumiaji lakini katika mpangilio orodha wako wa LDAP ipo user@domain.
If "LDAP" was selected for Customer::AuthModule and special paramaters are needed for the Net::LDAP perl module, you can specify them here. See "perldoc Net::LDAP" for more information about the parameters. Kama "LDAP" imechaguliwa kwa ajili ya Mteja::Moduli ya uhalalishaji na parameta maalum zinahitajika kwa jaili ya moduli ya Net::LDAP, unaweza kubainisha hapa. Angalia "perldoc Net::LDAP" kwa taarifa zaidi kuhusu parameta.