The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Defines the time zone of the indicated calendar, which can be assigned later to a specific queue. Inafafanua majira ya masaa yaliyoonyeshwa katika kalenda, ambayo yatapewa baadae kwa foleni maalum.
Defines the type of protocol, used by the web server, to serve the application. If https protocol will be used instead of plain http, it must be specified here. Since this has no affect on the web server's settings or behavior, it will not change the method of access to the application and, if it is wrong, it will not prevent you from logging into the application. This setting is only used as a variable, OTRS_CONFIG_HttpType which is found in all forms of messaging used by the application, to build links to the tickets within your system. Inafafanua aina ya itifaki, inayotumika na seva ya tovuti, kuihudumia programu tumizi. Itifaki ya https itatumika badala ya http iliyowazi, laizma ibainishwe hapa. Kutokana na kutokuwa na madhara katika mipangilio ya wavuti au tabia, haitabadilisha namna ya kufikia programu tumizi na, kama haipo sahihi haitokuzuia wewe kuingia kwenye programu tumizi. Mpangilio huu unatumika kama thamani inayobadilika tu, aina ya OTRS_CONFIG_Http ambayo ipo katika namna zote za ujumbe zinazotumika na programu tumizi, kujenga viunganishi kwenda kwenye tiketi ndani ya mfumo wako.
Defines the used character for plaintext email quotes in the ticket compose screen of the agent interface. If this is empty or inactive, original emails will not be quoted but appended to the response. Inafafanua tabia iliyotumika kwa ajili ya nukuu za barua pepe za makala iliyowazi katika skrini ya kutunga tiketi ya kiolesura cha wakala. Kama ipo tupu au haija amilishwa, barua pepe halisi hatizonukuliwa lakini zita ambatanishwa kwenye majibu.
Defines the user identifier for the customer panel. Inafafanua kitambulishi cha mtumiaji kwa paneli ya mteja.
Defines the username to access the SOAP handle (bin/cgi-bin/rpc.pl). Inafafanua jina la mtuaji kufikia kishiko cha SOAP (bin/cgi-bin/rpc.pl).
Defines the width for the rich text editor component for this screen. Enter number (pixels) or percent value (relative). Inafafanua upana kwa ajili ya kijenzi wa kihariri cha matini tajiri kwa skrini hii. Ingiza namba (pikseli) au thamani ya asilimia (inayohusiana).
Defines the width for the rich text editor component. Enter number (pixels) or percent value (relative). Inafafanua upana kwa ajili ya kijenzi wa kihariri cha matini tajiri. Ingiza namba (pikseli) au thamani ya asilimia (inayohusiana).
Defines which article sender types should be shown in the preview of a ticket. Inafafanu aina zipi za makala ya mtumaji zionyeshwe katika kihakiki cha tiketi.
Defines which items are available for 'Action' in third level of the ACL structure. Inafafa vipengelee ambavyo vinapatikana kwa ajili ya 'Kitendo' katika ngazi ya tatu ya muundo wa ACL.
Defines which items are available in first level of the ACL structure. Inafafanua vipengele ambavyo vinapatikana katika ngazi ya kwanza ya muundo wa ACL.
Defines which items are available in second level of the ACL structure. Inafafanua vipengele ambavyo vinapatikana katika ngazi ya pili ya muundo wa ACL.
Defines which states should be set automatically (Content), after the pending time of state (Key) has been reached. Inafafanua hali ipi iwekwe otomatiki (maudhui), baada ya muda wa kusubiri wa hali (funguo) kufikia.
Defines, which tickets of which ticket state types should not be listed in linked ticket lists. Inafafanua tiketi ambazo aina ya hali ya tiketi isiorodheshwe katika orodha ya tiketi zilizounganishwa.
Delete this ticket Futa tiketi hii.
Deleted link to ticket "%s". Kiunganisho kwa tiketi "%s" kilichofutwa.
Deletes a session if the session id is used with an invalid remote IP address. Inafuta kipindi kama kitambulisho cha kipindi kinatumika na anwani batili ya IP ya mbali.
Deletes requested sessions if they have timed out. Inafuta vipindi vilivyoombwa kama vina muda ulioisha.
Deploy and manage OTRS Business Solution™. Tumia na simamia OTRS Business Solution™.
Determines if the list of possible queues to move to ticket into should be displayed in a dropdown list or in a new window in the agent interface. If "New Window" is set you can add a move note to the ticket. Itaamua kama orodha za foleni zinaaowezekana kuhamisha tiketi zionyeshwe katika orodha kunjuzi au katika window mpya ya kiolesura cha wakala. Kama "Window Mpya" imewekwa unaweza kuongeza kidokezo cha kuhamisha katika tiketi.
Determines if the statistics module may generate ticket lists. Inaamua kaam moduli ya takwimu inaweza kutengeneza orodha za tiketi.