The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Defines the next state of a ticket after adding a note, in the ticket pending screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inafafanua hali ijayo ya tiketi baada ya kuongeza kidokezo, katika skrini ya tiketi ilinayosubiri ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Defines the next state of a ticket after adding a note, in the ticket priority screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inafafanua hali ijayo ya tiketi baada ya kuongeza kidokezo, katika skrini ya kipaumbele cha tiketi ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Defines the next state of a ticket after adding a note, in the ticket responsible screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo ya tiketi baada ya kuongeza kidokezo, katika skrini ya tiketi inayohusika ya kiolesura cha wakala.
Defines the next state of a ticket after being bounced, in the ticket bounce screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo ya tiketi baada ya kuongeza kidokezo, katika skrini ya tiketi inayodunda ya kiolesura cha wakala.
Defines the next state of a ticket after being moved to another queue, in the move ticket screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo ya tiketi baada ya kuhamishiwa kwenye foleni nyingine, katika skrini ya kuhamisha tiketi ya kiolesura cha wakala.
Defines the number of header fields in frontend modules for add and update postmaster filters. It can be up to 99 fields. Fafanua namba za uga wa kichwa katika moduli za kiolesura kwa kuongeza na kusasisha kichuja cha mchapishajimkuu. Inawezakuwa hadi uga 99.
Defines the parameters for the customer preferences table. Fafanua vigezo kwa jedwali la upendeleo la mteja.
Defines the password to access the SOAP handle (bin/cgi-bin/rpc.pl). Fafanua neno la siri la kufikia kishiko cha SOAP (bin/cgi-bin/rpc.pl).
Defines the path and TTF-File to handle bold italic monospaced font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za italiki za herufi nzito za nafasimoja katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle bold italic proportional font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za italiki za herufi nzito zilizosawa katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle bold monospaced font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za herufi nzito za nafasimoja katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle bold proportional font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za herufi nzito zilizosawa katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle italic monospaced font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za italiki za nafasimoja katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle italic proportional font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za italiki zilizosawa katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle monospaced font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti za nafasimoja katika waraka wa PDF.
Defines the path and TTF-File to handle proportional font in PDF documents. Fafanua njia na faili la TTF kumudu fonti zilizosawa katika waraka wa PDF.
Defines the path to PGP binary. Inafafanua njia ya kufika kwenye jozi ya PGP.
Defines the path to open ssl binary. It may need a HOME env ($ENV{HOME} = '/var/lib/wwwrun';). Inafafanua njia ya kufungua jozi ya ssl. Inaweza kuhitaji HOME env($ENV{HOME} = '/var/lib/wwwrun';).
Defines the postmaster default queue. Inafafanua foleni chaguo msingi ya mkuu wa posta.
Defines the priority in which the information is logged and presented. Inafafanua kipaumbele ambacho taarifa zinawekwa batli na kuwasilishwa.