The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Defines the module to authenticate customers. Inafafanua moduli ya kuwahalalisha wateja.
Defines the module to display a notification in different interfaces on different occasions for OTRS Business Solution™. Inafafanua moduli ya kuonyesha taarifa katika violesura mbalimbali katika matukio mbalimbali kwa ajili ya OTRS Business Solution™.
Defines the module to display a notification in the agent interface, if the agent is logged in while having out-of-office active. Inafafanua moduli ya kuonyesha taarifa katika kiolesura cha wakala, kama wakala aliingiia nje-ya-ofisi ikiwa amilifu.
Defines the module to display a notification in the agent interface, if the agent is logged in while having system maintenance active. Inafafanua moduli ya kuonyesha taarifa katika kiolesura cha wakala, kama wakala aliingia wakati matengenezo ya mfumo ikiwa amilifu.
Defines the module to display a notification in the agent interface, if the system is used by the admin user (normally you shouldn't work as admin). Inafafanua moduli ya kuonyesha taarifa katika kiolesura cha wakala, kama mfumo unatumika na mtumiaji wa muongozaji(mara zote usipende kufanya kazi kama kiongozi)
Defines the module used to store the session data. With "DB" the frontend server can be splitted from the db server. "FS" is faster. Inafafanua moduli inayotumika kuhifadhi data ya kipindi. Na "DB" seva ya mazingira ya mbele inaweza kugawanywa kutoka kwenye seva ya db. "FS" ni haraka.
Defines the name of the application, shown in the web interface, tabs and title bar of the web browser. Inafafanua jina la programu tumizi, inayoonyeshwa katikakiolesura cha wavuti, vichupo na ufio wa kichwa wa kivinjari cha wavuti.
Defines the name of the column to store the data in the preferences table. Inafafanua jina la safu wima ya kuhifadhi data katika jedwali la mapendeleo.
Defines the name of the column to store the user identifier in the preferences table. Inafafanua jina la safu wima ya kuhifadhi kitambulishi cha mtumiaji katika jedwali la mapendeleo
Defines the name of the indicated calendar. Fafanua jina la kalenda iliyoonyeshwa.
Defines the name of the key for customer sessions. Fafanua jina la funguo kwa vipindi vya mteja.
Defines the name of the session key. E.g. Session, SessionID or OTRS. Fafanua jina la funguo wa kipindi.Mfano Kipindi, Kitambulisho cha kipindi au OTRS.
Defines the next possible states after composing / answering a ticket in the ticket compose screen of the agent interface. Fafanua hali zinafouta zinazowezekana baada ya kutunga/kujibu tiketi katika skrini ta kutunga tiketi ya kiolesura cha wakala.
Defines the next possible states after forwarding a ticket in the ticket forward screen of the agent interface. Fafanua hali zinazifuata baada ya kupeleka tiketi katika skrini ya kutuma mbele ya tiketi ya kiolesura cha tiketi.
Defines the next possible states after sending a message in the email outbound screen of the agent interface. Fafanua hali zinazofuata zinazowezekana baada ya kutuma ujumbe katika skrini ya barua pepe ya nje ya kiolesura cha wakala.
Defines the next possible states for customer tickets in the customer interface. Fafanua hali zinazofuata zinazowezekana kwa tiketi za mteja katika kiolesura cha mteja.
Defines the next state of a ticket after adding a note, in the close ticket screen of the agent interface. Fafanua hali zinafouata za tiketi baada ya kuongeza kidokezo, katika skrini ya tiketi iliyofungwa ya kiolesura cha wakala.
Defines the next state of a ticket after adding a note, in the ticket free text screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo ya tiketi baada ya kuongeza kidokezo, katika skrini ya matini huru ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Defines the next state of a ticket after adding a note, in the ticket note screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo ya tiketi baada ya kuongeza kidokezo, katika skrini ya kidokezo cha tiketi ya kiolesura cha wakala.
Defines the next state of a ticket after adding a note, in the ticket owner screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inafafanua hali ijayo ya tiketi baada ya kuongeza kidokezo, katika skrini ya mmiliki wa tiketi ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.