The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Defines the default auto response type of the article for this operation. Inafafanua aina ya majibu ya otomatiki chaguo msingi ya makala kwa operesheni hii.
Defines the default body of a note in the ticket free text screen of the agent interface. Inafafanua kiini cha kidokezo chaguo msingi katika skrini ya matini huru ya kiolesura cha wakala.
Defines the default front-end language. All the possible values are determined by the available language files on the system (see the next setting). Inafafanua lugha ya mazingira ya mbele chaguo msingi. Thamani zote ziwezekanazo zinaamuliwa na mafaili ya lugha yaliyopo katika mfumo (Angalia mpangilio ujao).
Defines the default history type in the customer interface. Inafafanua aina ya historia chaguo msingi katika kiolesura cha mteja.
Defines the default maximum number of X-axis attributes for the time scale. Inafafanua upeo wa juu wa namba chaguo msingi ya sifa za jira X kwa ajili ya mzani wa muda.
Defines the default next state of a ticket after adding a note, in the close ticket screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo chaguo msingi ya tiketi baada ya kuongea kidokezo, katika skrini ya kufunga tiketi ya kiolesura cha wakala.
Defines the default next state of a ticket after adding a note, in the ticket free text screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo chaguo msingi ya tiketi baada ya kuongea kidokezo, katika skrini ya matini huru ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Defines the default next state of a ticket after adding a note, in the ticket note screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo chaguo msingi ya tiketi baada ya kuongea kidokezo, katika skrini ya kidokezo cha tiketi ya kiolesura cha wakala.
Defines the default next state of a ticket after adding a note, in the ticket owner screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inafafanua hali ijayo chaguo msingi ya tiketi baada ya kuongea kidokezo, katika skrini ya mmiliki wa tiketi ya tiiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Defines the default next state of a ticket after adding a note, in the ticket pending screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inafafanua hali ijayo chaguo msingi ya tiketi baada ya kuongea kidokezo, katika skrini ya tiketi inayosubiri ya tiiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Defines the default next state of a ticket after adding a note, in the ticket priority screen of a zoomed ticket in the agent interface. Inafafanua hali ijayo chaguo msingi ya tiketi baada ya kuongea kidokezo, katika skrini ya kipaumbele cha tiketi ya tiiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala.
Defines the default next state of a ticket after adding a note, in the ticket responsible screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo chaguo msingi ya tiketi baada ya kuongea kidokezo, katika skrini husika ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Defines the default next state of a ticket after being bounced, in the ticket bounce screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo chaguo msingi ya tiketi baada ya kuongea kidokezo, katika skrini ya tiketi inayodunda ya kiolesura cha wakala.
Defines the default next state of a ticket after being forwarded, in the ticket forward screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo chaguo msingi ya tiketi baada ya tiketi kutumwa mbele, katika skrini ya tiketi ya kupeleka mbele ya kiolesura cha wakala.
Defines the default next state of a ticket after the message has been sent, in the email outbound screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo chaguo msingi ya tiketi baada ya ujumbe kutumwa, katika skrini ya tiketi iliyofungwa nje ya kiolesura cha wakala.
Defines the default next state of a ticket if it is composed / answered in the ticket compose screen of the agent interface. Inafafanua hali ijayo ya tiketi chaguo msingi kama imetungwa / imejibiwa katika skrini ya kutunga ya tiketi ya kiolesura cha wakala.
Defines the default note body text for phone tickets in the ticket phone inbound screen of the agent interface. Inafafanua matini kiini ya kidokezo chaguo msingi kwa skrini iliyofungwa ndani ya tiketi ya simu ya kiolesura cha wakala.
Defines the default note body text for phone tickets in the ticket phone outbound screen of the agent interface. Inafafanua matini kiini ya kidokezo chaguo msingi kwa skrini iliyofungwa nje ya tiketi ya simu ya kiolesura cha wakala.
Defines the default priority of new customer tickets in the customer interface. Inafafanua kipaumbele chaguo msingi cha tiketi za mteja mpya katika kiolesura cha mteja.
Defines the default priority of new tickets. Inafafanua kipaumbele chaguo msingi cha tiketi mpya.