The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Defines an alternate logout URL for the customer panel. Inafafanua URL ya kutoka mbadala kwa paneli ya mteja.
Defines an external link to the database of the customer (e.g. 'http://yourhost/customer.php?CID=[% Data.CustomerID %]' or ''). Inafafanua kiungo cha nje kwenye hifadhi data ya mteja (mfano 'http://yourhost/customer.php?CID=[% Data.CustomerID %]' or '').
Defines from which ticket attributes the agent can select the result order. Inafafanua kutoka kwenye sifa gani za tiketi wakala anaweza kuchagua mpangilio wa matokeo.
Defines how the From field from the emails (sent from answers and email tickets) should look like. Inafafanua jinsi uga wa Kutoka kutoka kwenye barua pepe (umetumwa kutoka kwenye majibu na tiketi za barua pepe) unatakiwa ufanane.
Defines if a pre-sorting by priority should be done in the queue view. Inafafanua kama upangaji wa awali kwa kipaumbele ufanywe kwenye mandhari ya kuona ya foleni.
Defines if a pre-sorting by priority should be done in the service view. Inafafanua kama upangaji wa awali kwa kipaumbele ufanywe kwenye mandhari ya kuona ya huduma.
Defines if a ticket lock is required in the close ticket screen of the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya kufunga tiketi ya kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the email outbound screen of the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari yabarua pepe iliyofungwa nje ya kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket bounce screen of the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya tiketi inayodunda ya kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket compose screen of the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya kutunga ya tiketi ya kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket forward screen of the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya tiketi ya kupeleka mbele ya kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket free text screen of the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya matini huru ya tiketi ya kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket merge screen of a zoomed ticket in the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya kuunganisha tiketi ya kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket note screen of the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya kidokezo cha tiketi ya kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket owner screen of a zoomed ticket in the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya mmiliki wa tiketi ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket pending screen of a zoomed ticket in the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya tiketi inayosubiri ya tiketi iliyokuzwa katika kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket phone inbound screen of the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya simu ya tiketi iliyofungwa ndani ya kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket phone outbound screen of the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya simu ya tiketi iliyofungwa nje ya kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket priority screen of a zoomed ticket in the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya kipaumbele ya tiketi ya tiketi iliyokuzwa kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).
Defines if a ticket lock is required in the ticket responsible screen of the agent interface (if the ticket isn't locked yet, the ticket gets locked and the current agent will be set automatically as its owner). Inafafanua kama kufuli la tiketi inahitajika katika mandhari ya uhusika wa tiketi ya kiolesura cha wakala (kama tiketi haijafungwa bado, tiketi itafungwa na wakala wa sasa ataweka otomatiki kuwa mmiliki wake).