The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
CustomerUser MtejaMtumiaji
Data used to export the search result in CSV format. Data zinazotumika kuhamisha matokeo ya kutafuta katika umbizo la CSV.
Date / Time Tarehe / Muda
Default ACL values for ticket actions. Thamani za ACL chaguo msingi kwa ajili ya vitendo vya tiketi.
Default ProcessManagement entity prefixes for entity IDs that are automatically generated. Viambishi awali vya vipengeee halisi vya Usimamizi wa mchakato chaguo msingi kwa ajili ya kitambulisho cha kipengee halisi ambavyo vinatengenezwa otomatiki.
Default data to use on attribute for ticket search screen. Example: "TicketCreateTimePointFormat=year;TicketCreateTimePointStart=Last;TicketCreateTimePoint=2;". Data chaguo misngi kutumika katika sifa kwa ajili ya skrini ya kutafuta ya tiketi.
Mfano:
"Umbizo la Muda la Kutengeneza Tiketi= mwaka; Mwanzo wa Muda wa kutengeneza tiketi= Mwisho; Pointi ya muda wa kutengeneza tiketi=2;".
Default data to use on attribute for ticket search screen. Example: "TicketCreateTimeStartYear=2010;TicketCreateTimeStartMonth=10;TicketCreateTimeStartDay=4;TicketCreateTimeStopYear=2010;TicketCreateTimeStopMonth=11;TicketCreateTimeStopDay=3;". Data chaguo-msingi kutumia katika sifa kwa ajili ya skrini ya kutafuta ya tiketi:
"Mwaka wa kuanza wa muda wa kutengeneza tiketi=2010; Mwezi wa kuanza wa muda wa kutengeneza tiketi=10; Siku ya kuanza ya muda wa kutengeneza tiketi=4; Mwaka wa kuacha wa muda wa kutengeneza tiketi =2010; Mwezi wa kuacha wa muda wa kutengeneza tiketi = 11; Siku ya kuacha ya muda wa kutengeneza tiketi=3; ".
Default loop protection module. Moduli ya kulinda kitanzi chaguo-msingi.
Default queue ID used by the system in the agent interface. Kitambulisho cha foleni chaguo-msingi kinachotumika na mfumo katika kiolesura cha wakala.
Default skin for the agent interface (slim version). Gamba chaguo-msingi kwa jili ya kiolesura cha wakala (toleo jembamba).
Default skin for the agent interface. Gamba chaguo-msingi kwa ajili ya kiolesura cha wakala.
Default ticket ID used by the system in the agent interface. Kitambulisho cha tiketi chaguo-msingi kinachotumika na mfumo katika kiolesura cha wakala.
Default ticket ID used by the system in the customer interface. Kitambulisho cha tiketi chaguo-msingi kinachotumika na mfumo katika kiolesura cha mteja.
Default value for NameX Thamani chaguo msingi kwa jina X
Define a filter for html output to add links behind a defined string. The element Image allows two input kinds. At once the name of an image (e.g. faq.png). In this case the OTRS image path will be used. The second possiblity is to insert the link to the image. Inafafanua kichujio cha matokeo ya html ili kuongeza viunganishi nyuma ya tungo zilizo fafanuliwa. Sura ya elemnti hii inaruhusu maingizo ya aina mbili. Kwanza jinala sura (mf. faq.png). Kwa kesi hii sura ya njia ya OTRS itatumika. Njia ya pili ni kuingiza kiungo cha hiyo sura.
Define dynamic field name for end time. This field has to be manually added to the system as Ticket: "Date / Time" and must be activated in ticket creation screens and/or in any other ticket action screens. Fafanua jina la uga wenye nguvu kwa ajili ya muda wa kuisha. Uga huu unabidi uongezwe kwa mkono katika mfumo kama tiketi: "Tarehe / Muda" na lazima iamilishwe katika skrini ya utengenezaji wa tiketi na/au katika skrini nyingine za kitendo cha tiketi.
Define dynamic field name for start time. This field has to be manually added to the system as Ticket: "Date / Time" and must be activated in ticket creation screens and/or in any other ticket action screens. Fafanua jina la uga wenye nguvu kwa ajili ya muda wa kuanza. Uga huu unabidi uongezwe kwa mkono katika mfumo kama tiketi: "Tarehe / Muda" na lazima iamilishwe katika skrini ya utengenezaji wa tiketi na/au katika skrini nyingine za kitendo cha tiketi.
Define the max depth of queues. inafafanua upeo wa juu wa kina wa foleni.
Define the start day of the week for the date picker for the indicated calendar. Inafafanua siku ya kwanza ya wiki kwa kichagua tarehe kama ilivyoonyeshwa kwenye kalenda.
Define the start day of the week for the date picker. Inafafanua siku ya kwanza ya wiki kwa kichagua tarehe.