The translation is temporarily closed for contributions due to maintenance, please come back later.
The translation was automatically locked due to following alerts: Could not update the repository.
English Swahili
Defines the log module for the system. "File" writes all messages in a given logfile, "SysLog" uses the syslog daemon of the system, e.g. syslogd. Inafafanua moduli batli kwa mfumo. "Faili" inaandika jumbe zote katika faili batli lilipo, "BatliMfumo" unatumia batli mfumo jini wa mfumo mfano syslogd
Defines the maximal size (in bytes) for file uploads via the browser. Warning: Setting this option to a value which is too low could cause many masks in your OTRS instance to stop working (probably any mask which takes input from the user). Inafafanua upeo wa juu wa ukubwa (katika baiti) kwa ajili ya kupakia faili kwa kivinjari. Onyo: kuwekea chaguo hili thamani ambayo ni ndogo sana inaweza kusababisha barakoa nyingi katika OTRS yako kuacha kufanya kazi (Pengine barakoa inayochukua miingizo kutoka kwa mtumiaji)
Defines the maximum size (in MB) of the log file. Inafafanua ukubwa wa upeo wa juu (katika MB) wa faili la batli.
Defines the module to display a notification in the agent interface, if the system is used by the admin user (normally you shouldn't work as admin). Inafafanua moduli ya kuonyesha taarifa katika kiolesura cha wakala, kama mfumo unatumika na mtumiaji wa muongozaji(mara zote usipende kufanya kazi kama kiongozi)
Defines the name of the column to store the user identifier in the preferences table. Inafafanua jina la safu wima ya kuhifadhi kitambulishi cha mtumiaji katika jedwali la mapendeleo
Defines the standard size of PDF pages. Inafafanua kiwango cha ukubwa wa kurasa za PDF.
Defines the state of a ticket if it gets a follow-up and the ticket was already closed. Inafafanua hali ya tiketi kama ikipata kufuatiliwa na tiketi ilikuwa tayari imefungwa.
Defines the subject for notification mails sent to agents, about new password. Inafafanua somo kwa barua pepe za taarifa zilizotumwa kwa mawakala, kuhusu neno jipya la siri.
Delete this ticket Futa tiketi hii.
Dynamic Fields used to export the search result in CSV format. Uga zenye nguvu zimetumika kuhamisha majibu ya utafutaji katika umbizo la CSV
E-Mail Outbound Barua pepe zilizofungwa nje.
Exports the whole article tree in search result (it can affect the system performance). Inahamisha mti wa makala yote katika majibu ya utafutajii (inaweza athiri utendaji wa mfumo).
First Christmas Day Siku ya kwanza ya krisimasi.
GenericInterface Web Service GUI GUI ya huduma ya tovuti ya kiolesura cha ujumla.
Good PGP signature. Ongeza Saini
If enabled, the first level of the main menu opens on mouse hover (instead of click only). Kama imewezeshwa,ngazi ya kwanza ya menyu kuu itafunguka katika uambaaji wa juu wa kipanya (badala ya kubofya tu)
If set, this address is used as envelope sender in outgoing messages (not notifications - see below). If no address is specified, the envelope sender is equal to queue e-mail address. Kama imewekwa, anwani hii inatumika kama mtumaji wa bahasha katika ujumbe unaokwenda nje (hakuna taarifa- angalia chini). Kama hakuna anwani iliyobainishwa mtumaji wa bahasha ni sawa anwani ya barua pepe ya foleni
Locked ticket. Tiketi iliyofungwa
Manage PGP keys for email encryption. Simamia vibonye vya PGP kwa ajili ya usimbaji fiche wa barua pepe.
Manage POP3 or IMAP accounts to fetch email from. Simamia akaunti za POP3 au IMAP kupata barua pepe kutika huko.